Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mnaumia lakini ndo mtafanyaje sasa![emoji23]Haramu ni haramu tu!!
Alafu mradi wenyewe ni bilioni 70! Yaani imechukua miaka 59 ya uhuru kupata bilioni 70?Tatizo la nchi hii ni vipaumbele vibovu.Miaka 50 bado mnahangaika na maji wilayani [emoji23][emoji23][emoji23]. Huku mjini tu mvua dakika 5 barabara zinafungwa.
Akili za CCM bana
Mchanganuo wote huo unataka ufanyiwe BURE?Elezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,
Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.
Huoni aibu mradi wa milMnaumia lakini ndo mtafanyaje sasa!
Mnafikiri ndio tutasahau uharamia wenu?Mnaumia lakini ndo mtafanyaje sasa![emoji23]
Mzalendo wa wapi?😂😂"Serikali Ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Mzalendo Nambari 1"
Akili za BAVICHA bana! Miaka yote mnahangaika kuichungulia Sisiemu weeeeee, mpaka mnashtuka hiyooo 2025 hata hamjui nani ni nani humo mwenu sakosini. Enewei, tuna mpango wa kukata jina fulani, mtaenda na huyo. Halafu maandamano leo ni mtaa gani hivi???Miaka 50 bado mnahangaika na maji wilayani [emoji23][emoji23][emoji23]. Huku mjini tu mvua dakika 5 barabara zinafungwa.
Akili za CCM bana