Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Serikali Ya Awamu ya 5 inayoongozwa na Mzalendo Nambari 1 nchini Dkt John Pombe Magufuli Imeamua kutimiza ahadi yake kwa kishindo Mkoani Mara
Imegharamia mradi mkubwa wa Thamani ya Tsh Bilioni 70 utakaosambaza Maji Kutoka Ziwa Victoria kuelekea Majimbo ya Musoma Vijii, Butiama na Bunda
Hongereni kwa kuchagua Wabunge wa CCM
Hongereni kwa kuchagua Madiwani wa CCM
Hongereni Sana kwa Kumchagua Mheshimiwa Magufuli