Hapana mkuu siyo mimi. Mi nimewahi zungumzia kutumia maji ya lake Tanganyika kumwagilia.
Sasa hivi hamuulizii tena hela tunatoa wapi, pamoja na sanksheni za vikwazo-ulanzi vya Mr Mzungu & Bob wake???Alafu mradi wenyewe ni bilioni 70! Yaani imechukua miaka 59 ya uhuru kupata bilioni 70?Tatizo la nchi hii ni vipaumbele vibovu.
Hata kama yangeandikwa mambo 100 ya msingi, bado ungepondea tu. Hamnaga jema.Elezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,
Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.
Ndo umuulize aliyeanzisha uziMzalendo wa wapi?
Wapinzani walikuwa wanakwamisha Miradi ya maendeleoKwahiyo huo mradi msingeweza upeleka huko bila kuiba kura?
Zamu yao haijafikaWatu wa Rorya mlie tu. Ziwa mnalo lakini maji hakuna kabisa. Imebaki kulinyea tu.
POLENI RORYA.
Mzalendo Nambari 1 nchini TanzaniaNdo umuulize aliyeanzisha uzi
Siyo maigizo bali ni uhalisia wa mamboSeries mpya ya maigizo from ccm
Magunzi yametupwa motoniTatizo lilikuwa gunzi katikati ya betri. Hongereni kwa kupata connection.
Mbona inaonekana mabebelu wapo?Hongera nyingi kwa Serikali kwa Mradi mkubwa, kikubwa Vijiji bomba linakopita wapatiwe Maji ili kuepuka hujuma za miundombinu.
Tutahangaika na kuhakikisha Huduma za Maji pamoja na nyinginezo za muhimu zinawafikia Watanzania woteMiaka 50 bado mnahangaika na maji wilayani [emoji23][emoji23][emoji23]. Huku mjini tu mvua dakika 5 barabara zinafungwa.
Akili za CCM bana
Mabeberu wameajiriwa kama vibaruaMbona inaonekana mabebelu wapo?
Elezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,
Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.
Hapa Kazi Tu, au siyo???Mchanganuo wote huo unataka ufanyiwe BURE?
Yaani we dada nakumind sana pamoja na huyo mumeo mahondwa. Utoto mwingi.