Serikali Awamu ya Tano yasaini Mkataba wa kusambaza maji Kutoka ziwa Victoria Kuelekea Majimbo ya Musoma, Bunda na Butiama Wenye Thamani ya Bil 70

Serikali Awamu ya Tano yasaini Mkataba wa kusambaza maji Kutoka ziwa Victoria Kuelekea Majimbo ya Musoma, Bunda na Butiama Wenye Thamani ya Bil 70

Alafu mradi wenyewe ni bilioni 70! Yaani imechukua miaka 59 ya uhuru kupata bilioni 70?Tatizo la nchi hii ni vipaumbele vibovu.
Sasa hivi hamuulizii tena hela tunatoa wapi, pamoja na sanksheni za vikwazo-ulanzi vya Mr Mzungu & Bob wake???
 
Elezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,

Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.
Hata kama yangeandikwa mambo 100 ya msingi, bado ungepondea tu. Hamnaga jema.
 
Watu wa Rorya mlie tu. Ziwa mnalo lakini maji hakuna kabisa. Imebaki kulinyea tu.
POLENI RORYA.
 
Elezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,

Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.

Duuu bora umelijua hilo, hakuna atakayekuja kuonyoosha maelezo kwenye hayo, maana ni porojo kama porojo nyingine.
 
Mbona sijaona Majimbo ya Rorya, Tarime na Serengeti?.
 
Chief. Hata wakoloni walikuwa wajenga hiki mala kile nk. Lakini tuliwaondoa kwasababu ya kushindwa kutuheshimu. Hskuna serikali hii italifanya eti liwe mbadala wa haki yetu ya kikatiba kuchagua viongozi tunao wataka.
 
Back
Top Bottom