Marekani wana miaka 200 bado wanahangaika na maji angalia hapoMiaka 50 bado mnahangaika na maji wilayani
Elezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,
Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.
Hayo yako Kenya mkuu.Mbona sijaona Majimbo ya Rorya, Tarime na Serengeti?.
Kama ni kampuni ya Lesotho, jua kuwa wamepata kihalali kabisa, na mradi unafadhiliwa siyo na serikali...hapo tuangalie kampuni ya ndani waliyoshirikiana na hiyo ya lesotho inawezekani ndio watabe kwenye game kwa sasa, tuangalie wataalamu wetu wanaoshiriki pamoja na faida nchi inayopata...hujawahi kusikia ulishawahi kufuatilia?kwanini usi google unik uangalie miradi yao waliyofanya?Ni jambo zuri kitu kilichonishangaza kampuni iloyoshinda Tenda ya mradi inaitwa Unik kutoka Lessotho?wasi wasi ni hii kampuni hakuna mkono wa wizi,chawah kusikia kuwa Lesotho wanauzoefu wowote na miradi hii ya Maji.
Unaambiwa ni serikaliElezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,
Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.
Mwambieni jamaa yenu atupe mrejesho wa mapato na matumizi ya zile sadaka zilizotozwa kwenye ndooo nyeupe kipindi cha kampenii.Kwahiyo huo mradi msingeweza upeleka huko bila kuiba kura?
Miaka 25 mbona hakuna msingi/matofali, au hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu na husemi kitu?Miaka 50 bado mnahangaika na maji wilayani [emoji23][emoji23][emoji23]. Huku mjini tu mvua dakika 5 barabara zinafungwa.
Akili za CCM bana