Serikali Awamu ya Tano yasaini Mkataba wa kusambaza maji Kutoka ziwa Victoria Kuelekea Majimbo ya Musoma, Bunda na Butiama Wenye Thamani ya Bil 70

Serikali Awamu ya Tano yasaini Mkataba wa kusambaza maji Kutoka ziwa Victoria Kuelekea Majimbo ya Musoma, Bunda na Butiama Wenye Thamani ya Bil 70

Unatia huruma sana
Elezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,

Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ni jambo zuri kitu kilichonishangaza kampuni iloyoshinda Tenda ya mradi inaitwa Unik kutoka Lessotho?wasi wasi ni hii kampuni hakuna mkono wa wizi,chawah kusikia kuwa Lesotho wanauzoefu wowote na miradi hii ya Maji.
Kama ni kampuni ya Lesotho, jua kuwa wamepata kihalali kabisa, na mradi unafadhiliwa siyo na serikali...hapo tuangalie kampuni ya ndani waliyoshirikiana na hiyo ya lesotho inawezekani ndio watabe kwenye game kwa sasa, tuangalie wataalamu wetu wanaoshiriki pamoja na faida nchi inayopata...hujawahi kusikia ulishawahi kufuatilia?kwanini usi google unik uangalie miradi yao waliyofanya?
 
Elezea wahusika wa mkataba,
Elezea huo mkataba utakuwa ni wa kipindi gani,
Elezea fedha za huo mradi kama zimetolewa na serikali au wahisani kutoka nje,
Elezea hatua ambayo huo mradi umefikia: Kama umeshaanza au bado wanajiandaa kuanza,

Ukishaandika haya mambo ya msingi ndiyo uanze kuimba hizo ngonjera zako za CCM na Daktari John Pombe Magufuli.
Unaambiwa ni serikali
Wewe inasema habari za wahisani!
Akili za akina Lisu ni za kuiba sisi hatuwezi bila wazungu!
 
Miaka 50 bado mnahangaika na maji wilayani [emoji23][emoji23][emoji23]. Huku mjini tu mvua dakika 5 barabara zinafungwa.
Akili za CCM bana
Miaka 25 mbona hakuna msingi/matofali, au hata kiwanja cha kujenga ofisi ya makao makuu na husemi kitu?
 
Back
Top Bottom