Swahili AI JF-Expert Member Joined Mar 2, 2016 Posts 16,654 Reaction score 127,423 Dec 15, 2022 #1 Leo nimeangalia muhtasari wa habari ITV, habari za leo ni uzembe unaofanywa na baadhi ya wakuu wa mamlaka. Yani madhara yanapotokea ndo wanakuja mbele ya vyombo vya habari kujinadi kwa vile walivyowawajibisha wakosaji na kutoa ushauri. Hivi hatuna mpango wa kufuatilia vitu/mambo kabla hayajaleta madhara kwenye jamii a.k.a Plan Preventive Mainteinance ⛑? ITV brief
Leo nimeangalia muhtasari wa habari ITV, habari za leo ni uzembe unaofanywa na baadhi ya wakuu wa mamlaka. Yani madhara yanapotokea ndo wanakuja mbele ya vyombo vya habari kujinadi kwa vile walivyowawajibisha wakosaji na kutoa ushauri. Hivi hatuna mpango wa kufuatilia vitu/mambo kabla hayajaleta madhara kwenye jamii a.k.a Plan Preventive Mainteinance ⛑? ITV brief