Wewe mbinguni utakusikia tu kwa uongo wako hapa! Kwa taarifa yako huyo shetani Magufuli angefurahi zaidi kama watu wangefanya kazi bure ili akwapue zaidi!Magu alitaka mishara yote ifanane sio degree wamesoma wote 3yrs mwingine ale 4mil mwingine laki7 its not fair