I Izia maji JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,997 Reaction score 5,385 Sep 23, 2023 #161 Holly Star said: Magu alitaka mishara yote ifanane sio degree wamesoma wote 3yrs mwingine ale 4mil mwingine laki7 its not fair Click to expand... Wewe mbinguni utakusikia tu kwa uongo wako hapa! Kwa taarifa yako huyo shetani Magufuli angefurahi zaidi kama watu wangefanya kazi bure ili akwapue zaidi!
Holly Star said: Magu alitaka mishara yote ifanane sio degree wamesoma wote 3yrs mwingine ale 4mil mwingine laki7 its not fair Click to expand... Wewe mbinguni utakusikia tu kwa uongo wako hapa! Kwa taarifa yako huyo shetani Magufuli angefurahi zaidi kama watu wangefanya kazi bure ili akwapue zaidi!
C CORONAZ Senior Member Joined Apr 26, 2020 Posts 181 Reaction score 341 Sep 23, 2023 #162 Kwa uelewa wako watu wanaofanya kazi na kupitia mazingira hayo ni waalimu tu? Acha ubinafsi...
L lee jack JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,062 Reaction score 1,871 Sep 23, 2023 #163 Nakumbuka tilulimchangia headmaster wetu pesa akanunue gari baada ya kustaafu nikajiuliza pesa alipeleka wapi
Nakumbuka tilulimchangia headmaster wetu pesa akanunue gari baada ya kustaafu nikajiuliza pesa alipeleka wapi
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Sep 23, 2023 #164 Tazama wenye akili wanaojitambua
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 2,616 Reaction score 1,282 Jul 22, 2024 #165 Carasco Putin said: View attachment 2586311 Click to expand... Huyu jamaa mzee wa faulo