DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
WAMALAWI NI NDUGU ZETU WA DAMU, HAWANA TATIZO, KELELE WAZIFANYAZO MCHANA ZINAWEZA KUWA NA DB NGAPI ILI NEMC WAJE HAPO?, MWL JKN ALIWAAMINI SANA WAMALAWI NA WENGI WALIKUWA WATUMISHI SAFI NDANI YA IKULU 1970s,
N.b,wazingatie sheria tu inatosha.
Nimekusoma mkuu
 
Mkuu umewahi kusikia sehemu Mmalawi kavunja nyumba ya mtu au kapigana na mtu,?Wapo wapo tu watu wa watu watulivu na waadilifu......ndio maana Kuna ule usemi wa watoto wa mjini kumkejeli mshamba utasikia jamaa ni mnyasa sana....wakiwatumia wao Kama mfano
Mleta mada analalamika watoto wao kuchungulia madirishani kuona watu wazima walifanya yao Kwa nini asiwafundishe wanae kuachwa tabia za kupiga chabo
 
Maajabu ya watanzania
 
Nadhani watu waliozidi mno Tanzania ni WAHA, ambao wengi ni warundi, why?,
WAHA, by nature ni wakulima wafugaji hupenda kazi za nguvu, hii ndio asili ya Waha original wa Kigoma,
WAHA wa Burundi natural ni wafanyabiashara ndogo ndogo, yeye akipata tu 20000 inatosha mtaji na atafanya biashara tu, kuikwepa hali ngumu ya Burundi. (wengi huuza matunda kwasababu hulipa nusu kwa nusu) hawa wote ni warundi.
 

Hapa ya kuilamu ni IQ yako,sio wewe😁😁
😂😂😂 Amini wewe bila kuzibuliwa hilo sikio Moja utawapa watu kazi.
Wewe mwenye IQ Kubwa hata kuandika huwezi?😂😂 Jamani wewe mhamiaji haramu unakasilisha na kufurahisha
 
Niongezee mkuu Their passport is their colour nimambo madogo tu wanapaswa kurekebisha tunahitaji Africa 1 sisi niwa moja
 
kwani mtu kutoa dokezo Lake hapa jf ni kosa. Msiforce watu mfanane kimtazamo jmn. Hpa Pia ni mahali sahihi kabsa. Mambo mangapi yanaanzia jf halafu baadaye yanaclick na kufatiliwa na mamlaka husika?


Hapa sio mahali sahihi sana kwa suala hilo, ilitakiwa kwanza atoe taarifa katika vyombo vinavyohusika ndipo baadaye aje atoe na hapa pia kwani inawezekana wanaohusika wakapuuza habari hii wanapoiona humu kwani si huwa wanasemaga; "haa hayo ni mambo ya mtandai Bwana!!".

Jambo linatakiwa kwanza lifikishwe katika ngazi zinazohusika na baadaye ndio linaweza kuletwa humu pia.
 
Tutabanana humu humu hakuna Cha kwenda wapi Wala wapi, tushawajua wanufaika wa wahamiaji haramu!.
Unataka nikatoe taarifa huko ili mnifanye Nini? Hujui hicho ni kimradi Cha watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…