bongo man
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,054
- 2,348
mimi niwaambie tu ukweli hakuna nchi ina raia wengi nje kama Tanzania ,tena wengi wanaishi bila vibali ,nenda Kenya,uganda,congo,Malawi's,marekani,south afrika n.k
sasa unajua serikali haijui hilo? inajua sanaa na swala la usalama ni nyeti na pana na linapimwa kwa viashiria na sio kukurupuka na kuanza kuwaandama watu kwa kisingizio ni Wageni na ukajisahaulisha kuwa wako hawapo kwao utaweza leta majanga makubwa sanaa kwa watu wako kuliko wao. hoja ya mleta uzi ni muhimu ni vyema wahakikiwe vibali na wapewe vibali ili waweze kuishi kwa uhuru.
swala la maadili naona halina tija hivi kuna watu wanaongoza kwa UVUNJIFU wa maadili kama Tanzania .ukweli sijawahi opoa kahaba mmalawi,wala sijawahi shuhudia mwizi mmalawi au shoga mmalawi ila nenda south uone wabongo yalivyo Chakaaa.