DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu hasa Wamalawi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
"Serikari", ndiyo nini?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Wanyasa/wamalawi hapo mbezi tangi bovu wapo wa kutosha, makundi kwa makundi, kuna kaeneo kana vilabu vya pombe za kienyeji kama unaelekea maguruwe wapo wa kutosha.
Njoo kipande Cha goba mkuu ujionee makundi ya wamalawi. Sema Mimi shida ni hizo tabia zao za kisenge tu ndo sizipendi
 
Kiufupi hujanielewa! Kwanza Mimi na hao wamalawi hatukabiani Wala kulingana kimaisha, shughuli zangu na zao ni vitu viwili tofati!. Ww unaweza kumuonea wivu mtu anaefanya kazi za ulinzi?

Tabiaaaa! Hata huko ng'ambo huwezi kufika na kuleta vitabia vyako vya ajabu ajabu watu wakakuangalia tu lzm utadhibitiwa either na vyombo vya Dola au raia wenyewe
 
Njoo kipande Cha goba mkuu ujionee makundi ya wamalawi. Sema Mimi shida ni hizo tabia zao za kisenge tu ndo sizipendi

Report serikali ya mtaa wako hapo karibu na suluhisho la haraka sana, au kwa mtendaji ndio kamati ya ulinzi ya mtaa na kata hao…..Usalama wa raia unaanzia kwa raia wenyewe..
 
Hao watoto Kwa ni nn wachungulie vyumbani Kwa watu,,,wanapiga chabo sio?
 
Wanafanya kazi hasa, wananiosheaga gari yangu kwa ujira wa afutatu, wanalichangia mande vijana watatu, na linatoka safi car wash unazozijua zinasubiri.
 
Hao jamaa ukiwakuta kwao ni wabaguzi sana. Hawapendi kuona mgeni akipata maendeleo mbele yao aisee.
Miaka miwili iliyopita walikuwa washaanzisha oparation ya kuvamia maduka ya wageni haswa wale waliopo nyuma nyuma ya miji, wanaiba vitu na kuwachoma moto wahusika wa maduka hayo ambao wengi wao ni warundi na wanyarwanda.
Mpaka serikali yao ikaamua kuingilia kati swala hilo, ndo oparation yao ikakomea hapo.

Kuhusu kuishi chumba kimoja vijana zaidi ya watano na wake zao, huo ni utaratibu wao waliouzoea. Na sio wao tu hata wazimbabwe nao huishi hivyo.
Cha kufanya ni kureport kwa viongozi wa serikali waliopo karibu yako au kwenda kutoa taarifa polisi na uhamiaji.
Lakini kushitaki kwako kusiwe kwa wamalawi tu peke yao, bali hata na wageni wengine unaohisi kuwa wanaishi nchini kwetu kinyume na sheria.
 
Attachments

  • Screenshot_20230511-111443.jpg
    54.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230511-111451.jpg
    55.8 KB · Views: 5
We ushawahi kuvuka border

Ova
 
Report serikali ya mtaa wako hapo karibu na suluhisho la haraka sana, au kwa mtendaji ndio kamati ya ulinzi ya mtaa na kata hao…..Usalama wa raia unaanzia kwa raia wenyewe..
Wewe umenielewa mkuu. Mimi siwachukii kama wengi wanavyodhani Bali nachukia matendo yao
 
Yaani watu mnakereka vipi na vitu visivyowahusu?eti wanalala sita wewe unapata ukakasi?how?wamekubana wewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maisha magumu watu wanapata hasira.
 
Sawa sawa! Lkn utofauti wa wamalawi na wageni wengine ni usitaarabu na utulivu! Mbona Kuna wageni wengi tu tunaishi nao huku lkn hawana noma kbs, wanajua kuishi na jamii vzr hata kama hawajichanganyi lkn matendo ya wizi na uharifu mwingine huwezi kuwasikia
 
Wanafanya kazi hasa, wananiosheaga gari yangu kwa ujira wa afutatu, wanalichangia mande vijana watatu, na linatoka safi car wash unazozijua zinasubiri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafanya kazi hasa, wananiosheaga gari yangu kwa ujira wa afutatu, wanalichangia mande vijana watatu, na linatoka safi car wash unazozijua zinasubiri.
Kama wanafanya kazi za halali kama hivyo angalau, lkn mambo ya kutuibia na kutufanya tuwe na wasiwasi na usalama wa biashara zetu sisi tutakula nao sahani Moja kama serikali wanawachekea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…