trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,944
- 2,283
Kama huwezi kulipia matibabu tumia mitishamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijashindwa kulipia ndio maana unaona risiti, niewahoji kwa nini wanawadanganya wananachi?Kama huwezi kulipia matibabu tumia mitishamba
Tumia akili yako kidogo kuona kilichokusudiwa, lengo ni waseme kwa nini wanadanganya na hawaelezi ukweliTumieni uzazi wa mpango jamani kama hamuwezi malezi
Ni kituo cha Serikali, ni moja ya mambo ya ovyo yaliyoko SerikaliniHiki ni kituo binafsi, kituo cha Serikali hakiwezi kuwa na E-mail hiyo! Ila si unajua wabongo wanavyopenda kuilalamikia Serikali!
🤔🙄Hivi mnaonaga fahari kuwashitaki madaktari? Unataka upigwe x ray..kipimo cha mionzi bure? Poor you
Mkuu, Hela serikali inatoka wapi?? Tamko lao ni ulaghai?Hakuna kitu kinaitwa matibabu Bure bila utaratibu.Watanzania tusipende dezo, serikali inanunua dawa,wahudumu na mazingira ya matibabu ni hela.Ukate kiuno huko na kumwagia ndani halafu serikali ikulipie.
Upo utaratibu maalumu wa kupata matibabu bure, kawaone maafisa ustawi wa jamii watakupa utaratibu.Bure ni hewa tu tena kama utakuwa na uwezo wa kuivuta na kuitoa mwenyewe otherwise unalipia.
Kwanini kinaitwa Kimara Health Center na kina nembo ya bibi na bwana kama sio cha serikali mkuu?Hiki ni kituo binafsi, kituo cha Serikali hakiwezi kuwa na E-mail hiyo! Ila si unajua wabongo wanavyopenda kuilalamikia Serikali!
Mkuu umeelewa hoja lakini?,shida sio kulipa bali shida ni sera za wizara ya afya kwa watoto chini.ya miaka 5Hivi mnaonaga fahari kuwashitaki madaktari? Unataka upigwe x ray..kipimo cha mionzi bure? Poor you
Risiti tu yenyewe inaonyesha ni cha ummaKwanini kinaitwa Kimara Health Center na kina nembo ya bibi na bwana kama sio cha serikali mkuu?
Bahati mbaya wananchi nao hawana akiliNchi imejaa uhuni hii. Ccm wanaongea mambo mazuri sana majukwaani kuwahadaa wananchi. Maana wanayoyaongea hayana baraka za kisheria, kannuni na waraka. Ili jambo lifanyiwe kazi ni lazima yatungiwe sheria na kanuni kisha waraka utumwe kwenye taasisi na ofisi zote.
Kwani hizo hela ni za serikali ama ni zangu maana nalipa kodi kibao na matozo kibao harafu sheria inasema watoto wa chini ya miaka 5 watibiwe bure ww unaleta storyHakuna kitu kinaitwa matibabu Bure bila utaratibu.Watanzania tusipende dezo, serikali inanunua dawa,wahudumu na mazingira ya matibabu ni hela.Ukate kiuno huko na kumwagia ndani halafu serikali ikulipie.
Upo utaratibu maalumu wa kupata matibabu bure, kawaone maafisa ustawi wa jamii watakupa utaratibu.Bure ni hewa tu tena kama utakuwa na uwezo wa kuivuta na kuitoa mwenyewe otherwise unalipia.
Hawana ufahamu kabisa, hawatambui wana haki na wajibu wa kuihoji Serikali pale ambapo inaahidi vitu ambavyo havitekelezwi.Bahati mbaya wananchi nao hawana akili
CCM ndiyo maana wanatoa elimu mbovu sn, mtu ana degree lakini bado anaona maendeleo ni hisani ya Rais na siyo wajibu sembuse ambaye hajasoma hali ikoje?Hawana ufahamu kabisa, hawatambui wana haki na wajibu wa kuihoji Serikali pale ambapo inaahidi vitu ambavyo havitekelezwi.
Je, ulipoona ''maza'' kavaa saa ya sh milioni 100 ulihoji? Kama hukufanya hivyo, basi tulia dawa ikuingie kwa sababu watanzania wengi tunajifanya eti ''mambo ya siasa'' hayatuhusu.Leo nilifika kituo cha afya Kimara baada ya ndugu yangu kuniita nikalipie gharama ili mtoto wake apatiwe matibabu baada ya kuanguka na kuumia mguu.
Mambo ya siasa yananihusu na naifatilia, kuhusu kuhoji hicho ulichosema nadhani tukutane kwenye hoja husika inayohusika na saa hiyo na si hapa panapojadiliwa kuhusu wajibu wa Serikali kutekeleza sera zakeJe, ulipoona ''maza'' kavaa saa ya sh milioni 100 ulihoji? Kama hukufanya hivyo, basi tulia dawa ikuingie kwa sababu watanzania wengi tunajifanya eti ''mambo ya siasa'' hayatuhusu.