Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,656
Nilivuoe
Wanafuta mtihans wa La 7 ns kueeka
Nafasi ya kutoa maoni ilikuwepo.Msingi huu wa elimu utamwezesha mhitimu wa form four that is elimu ya msingi miaka 10 kutoka na ujuzi na maarifa badala ya elimu ya sasa iliyojikita kwenye maarifa.Sasa kama mtihani wa elimu ya msingi umefutwa kwa hiyo watafanya mtihani gani na watapimwa vipi?
Halafu nilitegemea wangekuja na pendekezo la kuanza kutumia lugha ya kingereza kufundishia masomo yote isipokuwa kiswahili litabaki somo la lazima kwa elimu zote …
Pia wasinge jiangaisha tungaenza kutumia mfumo wa elimu ya kenya basi kuliko kujidanganya kufuta mitihani…watoto wa elimu ya msingi ni vyema kupimwa!