Serikali: Elimu ya msingi mwisho darasa la sita kuanzia 2027

 Nilivuoe
Wanafuta mtihans wa La 7 ns kueeka

Nafasi ya kutoa maoni ilikuwepo.Msingi huu wa elimu utamwezesha mhitimu wa form four that is elimu ya msingi miaka 10 kutoka na ujuzi na maarifa badala ya elimu ya sasa iliyojikita kwenye maarifa.
 
mtoto wangu mmojawapo ni darasa la sita, ila nikiangalia anayosoma na aliyo na uwezo nayo anasoma masomo niliyokuwa nasoma nikiwa form one na form two.
 
Hii nchi mpaka leo bado tunaendelea kujaribu jaribu kwenye elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…