PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
mbona umewasilisha hoja kibabe hivo..Sote tunajua Barabara nyingi ni mbovu.Sisi watumiaji wa hii barabara ya kutoka DAR , KIBITI,LINDI HADI MTWARA tunaomba serikali hii kiziwi ufunge hii barabara sioni sababu ya kuendelea kutumika huku wananchi wanateseka na barabara mbovu kiasi hiki.
Laiti kama serikali ingekuwa inatujali watu wake ingefunga Tu ili turudi kule kwenye miaka ya 90,s kipindi ambacho tulikuwa tunatumia usafiri wa meli , safari yangu kutoka DAR Hadi MASASI sijakutana na gari ndogo kama hizi sedan zaidi ya land cruiser na crossover pekee.
Sijui serikali imejipangaje na mvua kubwa za El Nino zinazotabiriwa mwezi October! Na kama hizi mvua zitaanza kunyesha baadhi ya barabara zitajifunga zenyewe
Kwa aibu hii ya barabara za Tanzania ni ngumu Sana kupata mwekezaji kwenye sekta ya usafirishaji hasa Kwa nchi zinazotimia bandari zetu
Mad Max alishaletaga uzi alifanya road trip kwenye hii barabara.Sisi watumiaji wa hii barabara ya kutoka DAR , KIBITI,LINDI HADI MTWARA tunaomba serikali hii kiziwi ufunge hii barabara sioni sababu ya kuendelea kutumika huku wananchi wanateseka na barabara mbovu kiasi hiki.
Laiti kama serikali ingekuwa inatujali watu wake ingefunga Tu ili turudi kule kwenye miaka ya 90,s kipindi ambacho tulikuwa tunatumia usafiri wa meli , safari yangu kutoka DAR Hadi MASASI sijakutana na gari ndogo kama hizi sedan zaidi ya land cruiser na crossover pekee.
Sijui serikali imejipangaje na mvua kubwa za El Nino zinazotabiriwa mwezi October! Na kama hizi mvua zitaanza kunyesha baadhi ya barabara zitajifunga zenyewe
Kwa aibu hii ya barabara za Tanzania ni ngumu Sana kupata mwekezaji kwenye sekta ya usafirishaji hasa Kwa nchi zinazotimia bandari zetu
Akina Lucas Mwashambwa kavulata Stroke Tlaatlaah funaku USSR hayaoni haya yenyewe yamebakia tu kumkatia mauno abdul kwenye korido za lumumba na kujaza vyoo vya Lumumba.Sisi watumiaji wa hii barabara ya kutoka DAR , KIBITI,LINDI HADI MTWARA tunaomba serikali hii kiziwi ufunge hii barabara sioni sababu ya kuendelea kutumika huku wananchi wanateseka na barabara mbovu kiasi hiki.
Laiti kama serikali ingekuwa inatujali watu wake ingefunga Tu ili turudi kule kwenye miaka ya 90,s kipindi ambacho tulikuwa tunatumia usafiri wa meli , safari yangu kutoka DAR Hadi MASASI sijakutana na gari ndogo kama hizi sedan zaidi ya land cruiser na crossover pekee.
Sijui serikali imejipangaje na mvua kubwa za El Nino zinazotabiriwa mwezi October! Na kama hizi mvua zitaanza kunyesha baadhi ya barabara zitajifunga zenyewe
Kwa aibu hii ya barabara za Tanzania ni ngumu Sana kupata mwekezaji kwenye sekta ya usafirishaji hasa Kwa nchi zinazotimia bandari zetu
Kwa Tanzania hii ndiyo barabara mbovu zaidimbona umewasilisha hoja kibabe hivo..Sote tunajua Barabara nyingi ni mbovu.
Hiyo barabara naifahamu sana mkuu. Yani ni mbaya kulikk maelezo Na ndio njia yake bwashee min -me.Nimepita mchana bara bara ya Singida mpaka Babati yale ni mashimo kama ya visima aisee ni bora uzunguke dodoma babati kupitia manyoni hapo kati bara bara mbovu sana..
hahahaha ! Hiyo barabara nimepita mwezi wa sita mwaka huu..HaifaiNimepita mchana bara bara ya Singida mpaka Babati yale ni mashimo kama ya visima aisee ni bora uzunguke dodoma babati kupitia manyoni hapo kati bara bara mbovu sana..
yap.Kwa Tanzania hii ndiyo barabara mbovu zaidi
Kazi kweli kweli ndio mtaani kwake ila bara bara mbovu balaa..Hiyo barabara naifahamu sana mkuu. Yani ni mbaya kulikk maelezo Na ndio njia yake bwashee min -me.
Ukiwasikia mtaani sasa ni tofauti na uhalisia huwa napenda safari za usiku ile ningekesha aisee..hahahaha ! Hiyo barabara nimepita mwezi wa sita mwaka huu..Haifai
Kuna nyingine asee kiteto-simanjiro utadhani siyo binadamu wanaishi barabara mbovu balaa hata barabara za dola ya rumi miaka 3000 iliyopita zilikuwa nzuri.Kazi kweli kweli ndio mtaani kwake ila bara bara mbovu balaa..
Nilienda na Hilux moja naiamini sana kuna muda niliona kama naipa adhabu aisee hakuna bara bara kule..Kuna nyingine asee kiteto-simanjiro utadhani siyo binadamu wanaishi barabara mbovu balaa hata barabara za dola ya rumi miaka 3000 iliyopita zilikuwa nzuri.
Kwani hiyo barabara si ya lami au imekuwaje.hiyo mikoa ya lindi na mtwara cjawahi kukanyaga.au hii ni barabara nyingine tofauti na hiyo aliyokuwa anapambana nayo Late Mkapa?Sisi watumiaji wa hii barabara ya kutoka DAR , KIBITI,LINDI HADI MTWARA tunaomba serikali hii kiziwi ufunge hii barabara sioni sababu ya kuendelea kutumika huku wananchi wanateseka na barabara mbovu kiasi hiki.
Laiti kama serikali ingekuwa inatujali watu wake ingefunga Tu ili turudi kule kwenye miaka ya 90,s kipindi ambacho tulikuwa tunatumia usafiri wa meli , safari yangu kutoka DAR Hadi MASASI sijakutana na gari ndogo kama hizi sedan zaidi ya land cruiser na crossover pekee.
Sijui serikali imejipangaje na mvua kubwa za El Nino zinazotabiriwa mwezi October! Na kama hizi mvua zitaanza kunyesha baadhi ya barabara zitajifunga zenyewe
Kwa aibu hii ya barabara za Tanzania ni ngumu Sana kupata mwekezaji kwenye sekta ya usafirishaji hasa Kwa nchi zinazotimia bandari zetu
Sasa zile tilion 51 alizokopa SSH kwenye utawala wake zimefanya kazi gani. Kila sehemu barabara ni mboveSisi watumiaji wa hii barabara ya kutoka DAR , KIBITI,LINDI HADI MTWARA tunaomba serikali hii kiziwi ufunge hii barabara sioni sababu ya kuendelea kutumika huku wananchi wanateseka na barabara mbovu kiasi hiki.