Ntate Mogolo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 410
- 705
Unafikiri wenyewe hawapendi kuishi?Hivi bunge si linaendelea au limeisha?
1. Waanze kutangaza cases daily na wapi zimepatikana. Wataalamu wa kupambana na magonjwa ya milipuko wapewe confidence na uhuru wa kufanya kazi zao bila kusubiri ruhusa kutoka kwa wanasiasaKama tutaweza kudhibi maambukizi kwa watoto na vijana, tutakuwa tumefanikiwa sana kuokoa maisha ya watu wazima wanaojikinga katika familia. SHULE NA VYUO WAFUNGE MWEZI MMOJA TU, MAAMBUKIZI YATAPUNGUA
Hajielewi huyuDunia nzima watu wanafungua mashule sababu wameona hakuna chochote kilichoabdirika kwa kufunga shule wewe unakuja tena hapa unasema wafunge?
Kwa hiyo ajira ni muhimu kuliko uhai?Kufikiri kufunga shule na vyuo kwa ugonjwa ambao hujui hatima yake ni ufinyu wa kufikiri!!! Ww una kazi nzuri na una uhakika na kesho yako jua kwamba hizo ni ajira za watu! Kuna watu wanalisha familia zao kwa hizo ajira, toka corona ilivyoanza mwaka 2019 decemba duniani kote, mpaka Leo nchi zilizofunga shule na vyuo Hawajui nini hatima yake, kwa hiyo ww endelea kujikinga kivyako sio kuhamasisha wenzako wapoteze ajira
Hahahaha mkifungua mnalipa upyaaaaaaa πππ !Vijana ndio wanaua wazee na wenye changamoto za kiafya kwa kuwaambukiza....It makes sense ,wafunge shule kwanza kwa muda ila Shule kwa sasa ada haiendi bure itafidiwa kwenye term zingine.