Maiti huwa haidaiwi...Prepaid wapi bana,
Pesa ya matibabu iwe mtihani kupatikana, pesa ya kulipia maiti itoke wapi?
Si sawa kudai maiti.
Kama maiti haidaiwi, kwanini Huwa inazuiwa kutolewa kwenda kuzikwa Ili Hospitali ibaki inawadai ndugu?Maiti huwa haidaiwi...
Kinachodaiwa ni huduma alizokuwa amepatiwa kabla hajafariki...
Sasa akifariki wabongo hatutaki kuchangia ili na mwingine akija apate huduma...
Bila kuchangia hizi huduma si hospitali zitacollapse?...
Shida iko wapi ikiwa vyote hivyo vitatolewa bure? Nchi imeejaliwa kila aina ya raslimali, wezesha huduma za kijamii ili jamii ifurahie uwepo wa raslimali kwenye nchi yao.Wabongo wanataka kila kitu kiwe bure,
Elimu bure
Afya bure
Maji bure
Umeme Bure 🤣🤣
Kikubwa kama jamii tuhimizane kukata bima ya Afya
Hebu fikiria kama mkurugenzi wa hiyo hospitali.Haiwezekani ndugu wauguze mgonjwa, inatokea bahati mbaya, mgonjwa anaaga Dunia halafu Hospitali ya Serikali igome kutoa mwili kwa maziko hadi ndugu watoe pesa zote.
Ushauri mzuri.Shida iko wapi ikiwa vyote hivyo vitatolewa bure? Nchi imeejaliwa kila aina ya raslimali, wezesha huduma za kijamii ili jamii ifurahie uwepo wa raslimali kwenye nchi yao.
Kama hamuliwezi hilo ondokeni madarakani wenzenu walifanyie kazi
Nadhani ni kwa kuwa mabenki yana bima za mikopo. Hivyo watasolvu juu kwa juu.Sina HAKIKA kama mabenki yana Utaratibu ya kudai maiti ikitokea mdaiwa amefariki na alikuwa anadaiwa.
Serikali iache TABIA hii ya kudai maiti Ibebe Mzigo huo.