Serikali haikagui vyakula, kipi kinawazuia wenye migahawa kupika mizoga, mchele wa plastiki, viungo expired, mafuta ya transfoma / nguruwe, n.k

... nguruwe mtoe, ahusiki.
 
Mchele wa plastik siujuwi.Msaada tafadhali.
 
Kuna yule mwamba anajikun a mgongoni kwa mshikaki ambao ndio anauzia watu kwenye mabasi. Yule mkali sana.😆😆
 
Sema sotojo la yule bimaza daaah, na maji ya kunywa bureee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…