Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hii ilikuwa ni sheria ya kikoloni kabisaSerikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono πΌ
Pia soma:
Sheria ni Kama silaha, ukisema hii silaha ni ya mkoloni inamaana haiui? Au silaha ya kitanzania yenyewe inaponya badala kuumiza, sisi tuseme Sheria hio inasemaje na sisi tulitaka isemeje, tuwaambie wawakilishi wetu, Kama wanajali!!Hii ilikuwa ni sheria ya kikoloni kabisa
somebody opiyo sijuiYuko jamaa alikua katibu mkuu ofisi ya rais enzi za Nyerere, aliumiza watu Sana akiwa madarakani. Yule mbwa alikuja kutaabika Sana baada ya kuachia madaraka.
Bado tunatumia sheria za wakoloni au tunatumia sheria zetu?Sheria ni Kama silaha, ukisema hii silaha ni ya mkoloni inamaana haiui? Au silaha ya kitanzania yenyewe inaponya badala kuumiza, sisi tuseme Sheria hio inasemaje na sisi tulitaka isemeje, tuwaambie wawakilishi wetu, Kama wanajali!!
Mama Sir-100 alikuwa amezaliwa?Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono πΌ
Pia soma:
Pole sana.Mimi Ni muadhirika ya hii kitu. Walinibomolea nyumba nne ndani ya nusu saa. Halafu kirahisi tu unasema hawatuhusu sababuni wachaga, mbona wanyakyusa walikuwepo wengi tu.
Sababu ya kubomolewa Ni kwamba mwendazake alihisi sote Ni wachagga kwa hivyo Ni chadema.
Kwa alivyokua anaiogopa chadema akaona atuadhibu. Kiko wapi, Yuko wapi na hata huyo anayekazia kwamba walitumia Sheria ya mkoloni tunamsubiri akistaafu.
Cha ajabu wale wale waliotuvunjia kwakutumia mabavu ndio wanajenga vituo vya petrol pale pale walipotuondoa. Mfano
Stop over, Kiluvya Madukani na Gogoni.
Wauaji ccm, kuna siku mtalipa maovu yote. Mkiwa mmekufa watoto wenu watalipa mana ndio wanafaidi uovu huu.Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono πΌ
Pia soma:
ππππ ππ ππ¨ππππ π«πππ π€π ππππ€πππππ‘π¦ππ«ππππ ππ¦ππ ,ππ π€ππ€π ππ¦ππ π€π€π πππππ πππππ π¦πππ‘π¨π.Mimi Ni muadhirika ya hii kitu. Walinibomolea nyumba nne ndani ya nusu saa. Halafu kirahisi tu unasema hawatuhusu sababuni wachaga, mbona wanyakyusa walikuwepo wengi tu.
Sababu ya kubomolewa Ni kwamba mwendazake alihisi sote Ni wachagga kwa hivyo Ni chadema.
Kwa alivyokua anaiogopa chadema akaona atuadhibu. Kiko wapi, Yuko wapi na hata huyo anayekazia kwamba walitumia Sheria ya mkoloni tunamsubiri akistaafu.
Cha ajabu wale wale waliotuvunjia kwakutumia mabavu ndio wanajenga vituo vya petrol pale pale walipotuondoa. Mfano
Stop over, Kiluvya Madukani na Gogoni.
ππππππππ ππ ππ¨ππππ π«πππ π€π ππππ€πππππ‘π¦ππ«ππππ ππ¦ππ ,ππ π€ππ€π ππ¦ππ π€π€π πππππ πππππ π¦πππ‘π¨π.
βπ ππππππ π‘ππππ πππππͺπ ππ¦πππππ π¦π₯ππππππ«πππ π¨π π€πππ£ππ π¦πππ₯ππππππ ππ π¦π¨ππ‘π / ππ¦π₯π ππ¦π¨ππ‘π ππ¨π ππ₯π¦ ππ¦ππππ,π€ππ€π π€ππ£πππππ πͺπ π€π€π ππππ€πππ ππππππ‘π ππππ π¦πππππ₯π πππππ£π π«π ππ¨πππππ«πππ.
ππππ πππππ€π,πππ¦πππ πππ ππ ππ ππ,ππ π¦π€ππππ‘π¨π,πππππ πππππ π«πππ πππ«πππ¦π πππ‘π ππ πππ‘π
Semeni Mama amesema na sio Serikali...Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono πΌ
Pia soma:
Haya πΌSemeni Mama amesema na sio Serikali...
Yani vitu vya kishetAni shetani mnasema serikali..
Kodi zetu zinapotumika mnasema Mama katoa..
Acheni hzoo
Sikulipwa fidia.ππππ ππ ππ¨ππππ π«πππ π€π ππππ€πππππ‘π¦ππ«ππππ ππ¦ππ ,ππ π€ππ€π ππ¦ππ π€π€π πππππ πππππ π¦πππ‘π¨π.
βπ ππππππ π‘ππππ πππππͺπ ππ¦πππππ π¦π₯ππππππ«πππ π¨π π€πππ£ππ π¦πππ₯ππππππ ππ π¦π¨ππ‘π / ππ¦π₯π ππ¦π¨ππ‘π ππ¨π ππ₯π¦ ππ¦ππππ,π€ππ€π π€ππ£πππππ πͺπ π€π€π ππππ€πππ ππππππ‘π ππππ π¦πππππ₯π πππππ£π π«π ππ¨πππππ«πππ.
ππππ πππππ€π,πππ¦πππ πππ ππ ππ ππ,ππ π¦π€ππππ‘π¨π,πππππ πππππ π«πππ πππ«πππ¦π πππ‘π ππ πππ‘π
johnthebaptist naona umefirahi Sana sisi kuvunjiwa. Hata siku Ile tarehe 14.9.2017 tulipokua tunavunjiwa Kuna majirani zetu walikua wanashangilia Sana hasa wakiona samani zetu Zina pondwa pondwa na tingatinga la tingatinga.ππππ
Watanzania tujifunze kujua mambo muhimu zaidi kuliko Kariako Derby, serikali hua haifi anayebadilika ni mtawala ndiyo sababu waajiriwa wote walendelea kufanya kazi bila kuulizwa baada ya siku ya Uhuru. Mkitaka mnavyotaka itabidi kila chama kinachoingia madarakani watumishi wote waachishwe kazi, hakwezekani kwani serikali ni ya wananchi.Ah hata kama bhana kwanza huo mwaka bado tulikuwa tunatawaliwa, hapo serikali wametutapeli
Serikali hii imeridhi Sheria zoote kandamizi za kikoloni.Watanzania tujifunze kujua mambo muhimu zaidi kuliko Kariako Derby, serikali hua haifi anayebadilika ni mtawala ndiyo sababu waajiriwa wote walendelea kufanya kazi bila kuulizwa baada ya siku ya Uhuru. Mkitaka mnavyotaka itabidi kila chama kinachoingia madarakani watumishi wote waachishwe kazi, hakwezekani kwani serikali ni ya wananchi.
Sawa, ila leo n fainali ya ueropaWatanzania tujifunze kujua mambo muhimu zaidi kuliko Kariako Derby, serikali hua haifi anayebadilika ni mtawala ndiyo sababu waajiriwa wote walendelea kufanya kazi bila kuulizwa baada ya siku ya Uhuru. Mkitaka mnavyotaka itabidi kila chama kinachoingia madarakani watumishi wote waachishwe kazi, hakwezekani kwani serikali ni ya wananchi.
Dr Matola naye kibanda chake kilivunjwa ila mnastahili kulipwa fidiajohnthebaptist naona umefirahi Sana sisi kuvunjiwa. Hata siku Ile tarehe 14.9.2017 tulipokua tunavunjiwa Kuna majirani zetu walikua wanashangilia Sana hasa wakiona samani zetu Zina pondwa pondwa na tingatinga la tingatinga.
Wengine wameshakufa na wengine nawaona Hadi leo wanatafunwa na kwashiorkor.
NA WALIOFIDIWA KULEE MWANZA ILITUMIKA SHEERIA IPI?????????????? USIWE KAMA KASUKUSerikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono πΌ
Pia soma: