Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hii ilikuwa ni sheria ya kikoloni kabisaSerikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932
Source: Mwanahalisi Digital
Mlale Unono 🐼
Pia soma: