Serikali: Hakuna Fidia kwa Waliobomolewa Nyumba kupisha utanuzi wa Barabara ya Kimara-Kibamba, ilitumika Sheria ya 1932!

Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba

Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 🐼

Pia soma:
Hii ilikuwa ni sheria ya kikoloni kabisa
 
Sheria ni Kama silaha, ukisema hii silaha ni ya mkoloni inamaana haiui? Au silaha ya kitanzania yenyewe inaponya badala kuumiza, sisi tuseme Sheria hio inasemaje na sisi tulitaka isemeje, tuwaambie wawakilishi wetu, Kama wanajali!!
Bado tunatumia sheria za wakoloni au tunatumia sheria zetu?
 
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba

Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 🐼

Pia soma:
Mama Sir-100 alikuwa amezaliwa?
 
Mimi Ni muadhirika ya hii kitu. Walinibomolea nyumba nne ndani ya nusu saa. Halafu kirahisi tu unasema hawatuhusu sababuni wachaga, mbona wanyakyusa walikuwepo wengi tu.

Sababu ya kubomolewa Ni kwamba mwendazake alihisi sote Ni wachagga kwa hivyo Ni chadema.
Kwa alivyokua anaiogopa chadema akaona atuadhibu. Kiko wapi, Yuko wapi na hata huyo anayekazia kwamba walitumia Sheria ya mkoloni tunamsubiri akistaafu.

Cha ajabu wale wale waliotuvunjia kwakutumia mabavu ndio wanajenga vituo vya petrol pale pale walipotuondoa. Mfano

Stop over, Kiluvya Madukani na Gogoni.
Pole sana.
 
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba

Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 🐼

Pia soma:
Wauaji ccm, kuna siku mtalipa maovu yote. Mkiwa mmekufa watoto wenu watalipa mana ndio wanafaidi uovu huu.

angalia hiyo sasa
 
Attachments

Mimi Ni muadhirika ya hii kitu. Walinibomolea nyumba nne ndani ya nusu saa. Halafu kirahisi tu unasema hawatuhusu sababuni wachaga, mbona wanyakyusa walikuwepo wengi tu.

Sababu ya kubomolewa Ni kwamba mwendazake alihisi sote Ni wachagga kwa hivyo Ni chadema.
Kwa alivyokua anaiogopa chadema akaona atuadhibu. Kiko wapi, Yuko wapi na hata huyo anayekazia kwamba walitumia Sheria ya mkoloni tunamsubiri akistaafu.

Cha ajabu wale wale waliotuvunjia kwakutumia mabavu ndio wanajenga vituo vya petrol pale pale walipotuondoa. Mfano

Stop over, Kiluvya Madukani na Gogoni.
𝕂𝕒𝕞𝕒 𝕟𝕚 𝕞𝕨𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕫𝕒𝕜𝕖 𝕤𝕚 𝕒𝕝𝕚𝕤𝕙𝕒𝕛𝕚𝕡𝕦𝕞𝕫𝕚𝕜𝕚𝕒 𝕙𝕦𝕜𝕠,𝕟𝕒 𝕤𝕒𝕤𝕒 𝕜𝕦𝕟𝕒 𝕤𝕤𝕙 𝕟𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕜𝕒𝕕𝕒𝕚 𝕦𝕝𝕚𝕡𝕨𝕖.

ℕ𝕚 𝕞𝕛𝕚𝕟𝕘𝕒 𝕡𝕖𝕜𝕖𝕖 𝕒𝕞𝕓𝕒𝕪𝕖 𝕙𝕦𝕒𝕞𝕚𝕟𝕚 𝕦𝕥𝕖𝕜𝕖𝕝𝕖𝕫𝕒𝕛𝕚 𝕨𝕒 𝕤𝕙𝕖𝕣𝕚𝕒 𝕦𝕟𝕒𝕥𝕖𝕘𝕖𝕞𝕖𝕒 𝕟𝕒 𝕦𝕨𝕖𝕡𝕠 / 𝕜𝕦𝕥𝕠𝕜𝕦𝕨𝕖𝕡𝕠 𝕜𝕨𝕒 𝕞𝕥𝕦 𝕗𝕦𝕝𝕒𝕟𝕚,𝕤𝕒𝕤𝕒 𝕤𝕖𝕣𝕚𝕜𝕒𝕝𝕚 𝕪𝕒 𝕤𝕤𝕙 𝕚𝕞𝕖𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕙𝕒𝕚𝕝𝕚𝕡𝕚 𝕓𝕒𝕕𝕠 𝕦𝕟𝕒𝕝𝕖𝕥𝕒 𝕙𝕒𝕓𝕒𝕣𝕚 𝕫𝕒 𝕞𝕨𝕖𝕟𝕕𝕒𝕫𝕒𝕜𝕖.

𝕊𝕒𝕗𝕚 𝕜𝕒𝕓𝕚𝕤𝕒,𝕟𝕒𝕦𝕟𝕘𝕒 𝕞𝕜𝕠𝕟𝕠 𝕙𝕠𝕛𝕒,𝕟𝕒 𝕦𝕤𝕚𝕝𝕚𝕡𝕨𝕖,𝕞𝕒𝕒𝕟𝕒 𝕒𝕜𝕚𝕝𝕚 𝕫𝕒𝕜𝕠 𝕙𝕒𝕫𝕚𝕛𝕦𝕚 𝕜𝕚𝕡𝕚 𝕟𝕚 𝕜𝕚𝕡𝕚
 
😂😂😂😂
 
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba

Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 🐼

Pia soma:
Semeni Mama amesema na sio Serikali...
Yani vitu vya kishetAni shetani mnasema serikali..
Kodi zetu zinapotumika mnasema Mama katoa..
Acheni hzoo
 
𝕂𝕒𝕞𝕒 𝕟𝕚 𝕞𝕨𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕫𝕒𝕜𝕖 𝕤𝕚 𝕒𝕝𝕚𝕤𝕙𝕒𝕛𝕚𝕡𝕦𝕞𝕫𝕚𝕜𝕚𝕒 𝕙𝕦𝕜𝕠,𝕟𝕒 𝕤𝕒𝕤𝕒 𝕜𝕦𝕟𝕒 𝕤𝕤𝕙 𝕟𝕖𝕟𝕕𝕒 𝕜𝕒𝕕𝕒𝕚 𝕦𝕝𝕚𝕡𝕨𝕖.

ℕ𝕚 𝕞𝕛𝕚𝕟𝕘𝕒 𝕡𝕖𝕜𝕖𝕖 𝕒𝕞𝕓𝕒𝕪𝕖 𝕙𝕦𝕒𝕞𝕚𝕟𝕚 𝕦𝕥𝕖𝕜𝕖𝕝𝕖𝕫𝕒𝕛𝕚 𝕨𝕒 𝕤𝕙𝕖𝕣𝕚𝕒 𝕦𝕟𝕒𝕥𝕖𝕘𝕖𝕞𝕖𝕒 𝕟𝕒 𝕦𝕨𝕖𝕡𝕠 / 𝕜𝕦𝕥𝕠𝕜𝕦𝕨𝕖𝕡𝕠 𝕜𝕨𝕒 𝕞𝕥𝕦 𝕗𝕦𝕝𝕒𝕟𝕚,𝕤𝕒𝕤𝕒 𝕤𝕖𝕣𝕚𝕜𝕒𝕝𝕚 𝕪𝕒 𝕤𝕤𝕙 𝕚𝕞𝕖𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕙𝕒𝕚𝕝𝕚𝕡𝕚 𝕓𝕒𝕕𝕠 𝕦𝕟𝕒𝕝𝕖𝕥𝕒 𝕙𝕒𝕓𝕒𝕣𝕚 𝕫𝕒 𝕞𝕨𝕖𝕟𝕕𝕒𝕫𝕒𝕜𝕖.

𝕊𝕒𝕗𝕚 𝕜𝕒𝕓𝕚𝕤𝕒,𝕟𝕒𝕦𝕟𝕘𝕒 𝕞𝕜𝕠𝕟𝕠 𝕙𝕠𝕛𝕒,𝕟𝕒 𝕦𝕤𝕚𝕝𝕚𝕡𝕨𝕖,𝕞𝕒𝕒𝕟𝕒 𝕒𝕜𝕚𝕝𝕚 𝕫𝕒𝕜𝕠 𝕙𝕒𝕫𝕚𝕛𝕦𝕚 𝕜𝕚𝕡𝕚 𝕟𝕚 𝕜𝕚𝕡𝕚
Sikulipwa fidia.
Sitalipwa fidia lakini nakuhakikishia Sasa hivi Niko better off kuliko wewe ambaye hukuvunjiwa na Niko vizuri kuliko nilivyokua awali.
Unachotakiwa kujua Ni kwamba duniani tunapita tu hakuna haja ya kumfanyia MTU ubaya. Kuna leo na kesho, usimtukane usiyemjua.
 
😂😂😂😂
johnthebaptist naona umefirahi Sana sisi kuvunjiwa. Hata siku Ile tarehe 14.9.2017 tulipokua tunavunjiwa Kuna majirani zetu walikua wanashangilia Sana hasa wakiona samani zetu Zina pondwa pondwa na tingatinga la tingatinga.
Wengine wameshakufa na wengine nawaona Hadi leo wanatafunwa na kwashiorkor.
 
Ah hata kama bhana kwanza huo mwaka bado tulikuwa tunatawaliwa, hapo serikali wametutapeli
Watanzania tujifunze kujua mambo muhimu zaidi kuliko Kariako Derby, serikali hua haifi anayebadilika ni mtawala ndiyo sababu waajiriwa wote walendelea kufanya kazi bila kuulizwa baada ya siku ya Uhuru. Mkitaka mnavyotaka itabidi kila chama kinachoingia madarakani watumishi wote waachishwe kazi, hakwezekani kwani serikali ni ya wananchi.
 
Serikali hii imeridhi Sheria zoote kandamizi za kikoloni.
 
Watanzania tujifunze kujua mambo muhimu zaidi kuliko Kariako Derby, serikali hua haifi anayebadilika ni mtawala ndiyo sababu waajiriwa wote walendelea kufanya kazi bila kuulizwa baada ya siku ya Uhuru. Mkitaka mnavyotaka itabidi kila chama kinachoingia madarakani watumishi wote waachishwe kazi, hakwezekani kwani serikali ni ya wananchi.
Sawa, ila leo n fainali ya ueropa
 
johnthebaptist naona umefirahi Sana sisi kuvunjiwa. Hata siku Ile tarehe 14.9.2017 tulipokua tunavunjiwa Kuna majirani zetu walikua wanashangilia Sana hasa wakiona samani zetu Zina pondwa pondwa na tingatinga la tingatinga.
Wengine wameshakufa na wengine nawaona Hadi leo wanatafunwa na kwashiorkor.
Dr Matola naye kibanda chake kilivunjwa ila mnastahili kulipwa fidia
 
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba

Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria ya Mwaka 1932

Source: Mwanahalisi Digital

Mlale Unono 🐼

Pia soma:
NA WALIOFIDIWA KULEE MWANZA ILITUMIKA SHEERIA IPI?????????????? USIWE KAMA KASUKU
 
Back
Top Bottom