masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Mimi si mpenzi wa mropokaji Lissu.
Si mpenzi wa CHADEMA.
Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli.
Sasa tunaambiwa:
-mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa
- utangazaji wa kesi sasa ni siri
-ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi
Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga.
Serikali ijitafakari, huu ndio mwanzo wa Kangaroo Courts, na dhamira ikiwashauri kutenda lililokusudiwa, basi kesi ihamishiwe Ukonga Gerezani, msitusumbue wananchi.