masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Wazo zuri lakini umeharibu kwenye sentensi yako ya kwanza tuMimi si mpenzi wa mropokaji Lissu.
Si mpenzi wa CHADEMA.
Lakini haki ina misingi yake ya uwazi na ukweli.
Sasa tunaambiwa:
-mashahidi wa serikali ni siri ya Tsifa
- utangazaji wa kesi sasa ni siri
-ushuhudiaji wa kesi ni wa vikwazo vingi
Kero ya vyombo vya ulinzi na usalama eneo lote la Upenga.
Serikali ijitafakari, huu ndio mwanzo wa Kangaroo Courts, na dhamira ikiwashauri kutenda lililokusudiwa, basi kesi ihamishiwe Ukonga Gerezani, msitusumbue wananchi.
Mkuu kuropoka ni kuongea kwa sauti kali, bila mpangilio a.k.a Lissu.Wazo zuri lakini umeharibu kwenye sentensi yako ya kwanza tu
Tukikutaka uthibitishe uropokaji wa Tundu Lissu wala hutaweza kwa kuwa wewe mwenyewe ni mjinga na mropokaji halisi..
Kwa sababu mtu msema kweli, muwazi na asiye na unafiki siku zote huwa termed kama "loud speaker" au "mropokaji" na watu wanafiki, waongo, wasiopenda ukweli kuwekwa wazi, wapenda ubaya na uovu na wajinga kama wewe...!
I am sorry to describe you using harsh statements. But, that's who you are based on your attitude...