Kalime kama umahofia njaa. Yaani mkulima aache kuuza sehemu yenye bei nzuri kwa sababu ya njaa? Nitakubalina na wewe kama utasema mishahara ya wafanyakazi nayo ikatwe kidogo ili kuilinda serikali na matumizi. Pia kodi za biashara ziongezwe kidogo ili kuongeza akiba ya serikaliWakuu
Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa,
Nchi nyingi Kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa kwanza Kwa mwananchi ni chakula,
utomaso huuKalime kama umahofia njaa. Yaani mkulima aache kuuza sehemu yenye bei nzuri kwa sababu ya njaa? Nitakubalina na wewe kama utasema mishahara ya wafanyakazi nayo ikatwe kidogo ili kuilinda serikali na matumizi. Pia kodi za biashara ziongezwe kidogo ili kuongeza akiba ya serikali
Tzn hakuna shida ya chakula,Huwa tunaagiza vyakula vya chapati ngano ambayo sio lazima.Wakuu
Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa,
Nchi nyingi Kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa kwanza Kwa mwananchi ni chakula,
Unachoongea hukijui!! Anayeuza nje ya nchi sio mkulima ni mfanyabihashara. Wakulima wanaouza gunia elfu 30 leo ndo watakuja kununua debe elfu 30 mwezi wa 10Kalime kama umahofia njaa. Yaani mkulima aache kuuza sehemu yenye bei nzuri kwa sababu ya njaa? Nitakubalina na wewe kama utasema mishahara ya wafanyakazi nayo ikatwe kidogo ili kuilinda serikali na matumizi. Pia kodi za biashara ziongezwe kidogo ili kuongeza akiba ya serikali
Hayo maghala ya kuhifadhi chakula yameshajaa, utakiweka wapi? Halafu kilimo ni biashara, mtu kalima kwa gharama zake, hiwezi kumpangia mahali na muda wa kuuza wakati anadaiwa Benki. serikali ianze kulima wenyewe ndio wajipangia pa kuuzza.Wakuu
Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa,
Nchi nyingi Kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa kwanza Kwa mwananchi ni chakula,
Hawa watu hawajawahi kumhurumia kabisa mkulimaKalime kama umahofia njaa. Yaani mkulima aache kuuza sehemu yenye bei nzuri kwa sababu ya njaa? Nitakubalina na wewe kama utasema mishahara ya wafanyakazi nayo ikatwe kidogo ili kuilinda serikali na matumizi. Pia kodi za biashara ziongezwe kidogo ili kuongeza akiba ya serikali
Jinga sana Hilo Jamaa.Hui ni mda wa kuuza msosi sio Kuzuia.Tanzania tuna mapori ya kutosha mito na maziwa nenda ukalime na wewe
Mwaka huu chakula kingi mnoo kinaweza kulisha nchi 5Wakuu
Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa,
Nchi nyingi Kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa kwanza Kwa mwananchi ni chakula,
Na wewe unachoongea hukijui. Huyo mfanyabiashara anayeuza nje anafanya mazao yawe yana uhitaji mkubwa na unajua demand ikiwa kubwa na bei inapanda.Unachoongea hukijui!! Anayeuza nje ya nchi sio mkulima ni mfanyabihashara. Wakulima wanaouza gunia elfu 30 leo ndo watakuja kununua debe elfu 30 mwezi wa 10
Kwa kiasi kikubwa nakubalina na wewe. Lakini huoni kwamba ukiwanyima hao wafanyabiashara kuuza nje, bei ya mkulima itaporomoka zaidi? The higher the demand, the higher the price. Ukikataza wafanyabiashara kuuza nje, mahindi yatakuwa mengi na yatadodea wakulima ambao itabidi wauze bei ya chini zaidi. BTW hata hili la wafanyabiashara kufaidika na uuzaji nje ya nchi nalo ni tatizo serikali. Tungekuwa na serikali inayojali wakulima ingewasaidia kwenye kuuza mazao yao nje, na hii angalao inge-justify katazo la uuzaji wa chakula nje ya nchi panapokuwa na tishio la upungufu wa chakula.Unachoongea hukijui!! Anayeuza nje ya nchi sio mkulima ni mfanyabihashara. Wakulima wanaouza gunia elfu 30 leo ndo watakuja kununua debe elfu 30 mwezi wa 10
Uko sahihi kabisa. Njia nzuri ya serikali kuweka ''katazo'' ni serikali kununua hayo mahindi kwa bei ile ile wanayouzia nje ya nchi au zaidi. Wakifanya hivyo, hakutakuwa tena na umuhimu wa kuweka katazo kwani wakulima watakilimbilia kuiuzia serikali.Na wewe unachoongea hukijui. Huyo mfanyabiashara anayeuza nje anafanya mazao yawe yana uhitaji mkubwa na unajua demand ikiwa kubwa na bei inapanda.
Sasa mipaka ikifungwa wahitaji sio wengi hivyo chakula kinashuka bei.
Mfano ulioutoa gunia la elfu 30 mkulima atakuja kununua debe elfu 30.
Nikuambie,mmulima naye ana matatizo yake mengi tu yanayohitaji fedha. Ikiwa mazao yatakosa soko kwa vyovyote vile atauza hayo mazao bila kujali ni kwa bei ndogo kiasi gani.
Mfano serikali imefunga mipaka na imetokea mazao ni mengi kwa mfano mahindi,unakuta mipaka ikifungwa debe 1 linauzwa 5,000/= hadi 8,000/= na mkulima anashida ya 100,000/= itabidi auze madebe mengi ya mahindi ili kuipata laki 1 na hivyo kumletea njaa mlangoni tofauti na mipaka ingekuwa wazi mkulima angeuza kiasi kidogo cha mahindi ili kuipata laki 1 maana mipaka ikiwa wazi debe 1 linaweza kuanzia 15,000/= hadi 25,000/=
Sasa wewe elezea mipaka ikifungwa inavyoweza kuzuia njaa kwa mkulima.
Una matope tu akilini mwakoUnachoongea hukijui!! Anayeuza nje ya nchi sio mkulima ni mfanyabihashara. Wakulima wanaouza gunia elfu 30 leo ndo watakuja kununua debe elfu 30 mwezi wa 10
Serikali ikishanunua itayaweka wapi? Au turudishe mambo ya serikali kufanya biashara? Mliona JPM alichowafanya wakulima wa korosho?Uko sahihi kabisa. Njia nzuri ya serikali kuweka ''katazo'' ni serikali kununua hayo mahindi kwa bei ile ile wanayouzia nje ya nchi au zaidi. Wakifanya hivyo, hakutakuwa tena na umuhimu wa kuweka katazo kwani wakulima watakilimbilia kuiuzia serikali.
Inawahusu. Ngoja kesho mafuta yapande bei. Uone kesho unapokwenda kazini badala la kulipa buku unalipa buku 2Vita haituhusu