macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wewe beberu ndiyo hasa adui yetu. Unajifanya kuwaonea wakulima huruma wakati Magufuli alitushatuambia nyie ni watu wabaya sana na ndiyo maadui zetu? Mzaha pembeni, nilikuwa nasisitizia umuhimu wa wakulima kuachiwa kuuzwa watakako, ndiyo maana nikasema kama wanaona umuhimu wa nchi kuwa na akiba, basi wanunue waweke na siyo kuwafanya wakulima victims!Serikali ikishanunua itayaweka wapi? Au turudishe mambo ya serikali kufanya biashara? Mliona JPM alichowafanya wakulima wa korosho?
Tanzania hakuna vita, mazao yauzwe nje, anaehisi njaa nyumbani kwake akalime mashambani