Wewe beberu ndiyo hasa adui yetu. Unajifanya kuwaonea wakulima huruma wakati Magufuli alitushatuambia nyie ni watu wabaya sana na ndiyo maadui zetu? Mzaha pembeni, nilikuwa nasisitizia umuhimu wa wakulima kuachiwa kuuzwa watakako, ndiyo maana nikasema kama wanaona umuhimu wa nchi kuwa na akiba, basi wanunue waweke na siyo kuwafanya wakulima victims!