antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duh, pole mkuu.Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali haiamni katika kupoteza
Kila kitu kipo kwenye system lakini unaonekana kama hujasoma.
Tuungane kuitoa CCM madarakani.
Nimekasirika sana kutofanya interview leo kisa vyeti nilipoteza tena kwa kuungulia ndani.
Nini maana ya kuweka matokea sasa online na vyeti pia kama serikali haiamini kwenye online results and certificates.
Nimepoteza juzi tu. Nisingeweza kufanya hivyo vyoteDuh, pole mkuu.
Ungeenda na "certified copies" kutoka Baraza la mitihani na chuo ulichosoma, labda wangekubali
AsntePole mkuu.
Yani kutembea na vyeti ni risk sanaWanataka waweke watu wao hivyo wakawa wamepata sababu ya kukuondoa mapema.
Halafu mtu ukipoteza vyeti mfano vya sekondari, utaratibu wa kupata vyeti vingine ukoje?
washtakiPolisi loss report na jeshi la zima moto report lakini wamekataa
Naenda leo mahakamani. Naomba namba ya Lisu plzwashtaki
Madhara ya uongozi mbovu humpata kila mtu kwa wakati wake. Ndiyo maana tunaambia kuwa hata kama huna tatizo, unaposikia mtu kanyimwa haki yake piga kelele. Unaposikia maandamano kama una nafasi jitokeze. Unaposikia uchaguzi, jitokekeze na ulinde kura.Utaratibu upo kwenye mchakato na hawatoi mbadla hapo happ na mimi nimepoteza juzi tu
Mambo ya kutumia hardcopy yamepitwa na wakati. Tubadilike.Yani kutembea na vyeti ni risk sana
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali haiamni katika kupoteza
Kila kitu kipo kwenye system lakini unaonekana kama hujasoma.
Tuungane kuitoa CCM madarakani.
Nimekasirika sana kutofanya interview leo kisa vyeti nilipoteza tena kwa kuungulia ndani.
Nini maana ya kuweka matokea sasa online na vyeti pia kama serikali haiamini kwenye online results and certificates.
Sasa ni kinyume na haki za binadamu. Au ccm wako juu ya sheria. Mi naenda ku appealPole sana mkuu.
Hiyo ni mbinu mojawapo ya kufikia idadi inayotakiwa, ndiyo maana kwenye tangazo lao wameandika uende na vyeti original tu na si vinginevyo.
Wanaohitaji hizo nafasi ni wengi sana kuliko nafasi zilizotolewa kwa hiyo ni lazima wawe makini kuhakikisha vigezo vyote vinazingatiwa likiwemo hilo la kwenda na vyeti original.
Kajipange tena mkuu, fuatilia vyeti vyako ili pengine upate copy toka mamlaka husika ili ujaribu tena wakati ujao.
Kila la kheri.
Huu uongo wa kibwege na kijinga sanaHakuna chi ya kijinga kama hii. Nchi zingine ukiingiza details zako tu kwenye computer kila kitu kinasoma na unaruhusiwa fasta
If you have lost them means you have not gone to school. Hizi akili za mtu asiyejitambua. Kumbuka hii ni serikali na inawajibu wa kulind haki na sheria za raiaHuu uongo wa kibwege na kijinga sana
If requirements ni original documents, you must submit them
Tuache hizo
UkipotezaIf you have lost them means you have not gone to school. Hizi akili za mtu asiyejitambua. Kumbuka hii ni serikali na inawajibu wa kulind haki na sheria za raia
Nimetoa taarifa sijapata vingine. Sasa hapo koda ni la naniUkipoteza
Unatoa taarifa na unapata vingine
I have gone through that na Nilikua nje ya nchi
Ilibidi nipate replacement ya certificates zote ndio Mengine yaendelee
Yaani hadi ushahidi/Uchunguzi wa kitaalamu kutoka jeshi la zima moto wameuukataa! Unampingaje expert kwa maneno matupu bila kufanya tafiti kwanza!!?Aisee,hii nchi ya hovyo sana sana
hee namba ya lisu lisu yupi yule mwanasheria wa arusha?Naenda leo mahakamani. Naomba namba ya Lisu plz
Tundu lisuhee namba ya lisu lisu yupi yule mwanasheria wa arusha?
ndo mwanasheria wako na huna namba yake? muombe mwashamba wa jf anayoTundu lisu
Akiingia bila cheti nini kitaonesha kuwa hakuwa nacho? Yaani tofauti yake na aliyeingia na cheti itaonekana wapi? Maana hata mwenye cheti si atarudi nacho kwake?? Hao wa mlangoni hawana akili nao, sio kila amri au maagizo ni ya kufuata.. fuata maagizo halali tu yenye mantikiPole sana Braza...pia wanaoweka sheria ndio Hawatumii akili sio hao uliowakuta Mlangoni.
Hao wamewekwa tu na wamepewa muongozo hawana maamuzi yoyote