antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Duh, pole mkuu.Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali haiamni katika kupoteza
Kila kitu kipo kwenye system lakini unaonekana kama hujasoma.
Tuungane kuitoa CCM madarakani.
Nimekasirika sana kutofanya interview leo kisa vyeti nilipoteza tena kwa kuungulia ndani.
Nini maana ya kuweka matokea sasa online na vyeti pia kama serikali haiamini kwenye online results and certificates.
Ungeenda na "certified copies" kutoka Baraza la mitihani na chuo ulichosoma, labda wangekubali