Serikali hii si haki! Eti kwa sababu mtu kapoteza vyeti basi hana haki ya interview

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali haiamni katika kupoteza

Kila kitu kipo kwenye system lakini unaonekana kama hujasoma.

Tuungane kuitoa CCM madarakani.

Nimekasirika sana kutofanya interview leo kisa vyeti nilipoteza tena kwa kuungulia ndani.

Nini maana ya kuweka matokea sasa online na vyeti pia kama serikali haiamini kwenye online results and certificates.
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as serikali haiamni katika kupoteza

Kila kitu kipo kwenye system lakini unaonekana kama hujasoma.

Tuungane kuitoa ccm madarakani.

Nimekasirika sana kutofanya interview leo kisa vyeti nilipoteza tena kwa kuungulia ndani.

Hapa N.I.T ningetembea na badtora halika ningeua mtu leo
Andika ueleweke, hakinya interview ndo nini?
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali haiamni katika kupoteza

Kila kitu kipo kwenye system lakini unaonekana kama hujasoma.

Tuungane kuitoa ccm madarakani.

Nimekasirika sana kutofanya interview leo kisa vyeti nilipoteza tena kwa kuungulia ndani.

Hapa N.I.T ningetembea na bastora halika ningeua mtu leo
Pole sana Braza...pia wanaoweka sheria ndio Hawatumii akili sio hao uliowakuta Mlangoni.
Hao wamewekwa tu na wamepewa muongozo hawana maamuzi yoyote
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Umeaply umechaguliwa eti siku ya interview unawaeleza umepoteza original lakini ipo kwenye mchakato lakini bado hawakuruhusu kufanya intetview as if serikali haiamni katika kupoteza

Kila kitu kipo kwenye system lakini unaonekana kama hujasoma.

Tuungane kuitoa ccm madarakani.

Nimekasirika sana kutofanya interview leo kisa vyeti nilipoteza tena kwa kuungulia ndani.

Hapa N.I.T ningetembea na bastora halika ningeua mtu leo

Nini maama ya kuweka matokea sasa online na vyeti pia kama serikali haiamini kwenye online results and certificates.
Ndo nchi yetu hii pole sana mkuu
 
Bongo kiukweli ni nchi ya ovyo ovyo
 
Nchi nyingine Wanaruhusu?
 
Hapa N.I.T ningetembea na bastola hakika ningeua mtu leo

Nini maana ya kuweka matokea sasa online na vyeti pia kama serikali haiamini kwenye online results and certificates.
Nchi ipi nyinginr umeishi, Tz ni ya ajabu. Kwanza we km si mlevi ni mzembe hustahili kuajiriwa.
 
Back
Top Bottom