Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Usishangae pia hiyo miradi ikatumika kama chambo cha kusogeza mbele muda wa kubakia madarakani.Teyari Wachina wameshaanza kuzengezengea- ukiona ndege aina ya tai akizunguka angani sehemu fulani ujue chini kuna mnyama anakaribia kuwa mzoga,