Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ukweli,na huyo mtoa mada,alikua mstari wa mbele kumlaani Magufuli kwa kuwatupa ndugu zetu wachinaKabombe: unazungumza ukweli? au utani?
HIVI, vile visenti vya corona kutoka EU viliisharudishwa?Magufuli hana rafiki; kwa hiyo hashindwi kabisa kuwakatalia Wachina papo kwa papo wakileta masharti asiyokubaliana nayo.
AMENHela yote iliyotumika kwenye SGR, ndege, Bwawa, kuuwa upinzani,nk Kama zingewekezwa kwenye kilimo zingesharudi Mara tatu. Na tusingehitaji mikopo.
. Fungua mipaka
.jenga viwanda vya zana za kilimo
.futa kabisa ushuru chochote kuhusu kilimo
.lima mazao yenye uhitaji Mkubwa duniani korosho, chikichi, alizeti, mtama, mahindi, mpunga, parachichi, katani, nk
.ongeza thamani mazao.
.
.
.
Tungepata pesa nyingi Sana za kigeni na tusingehitaji mikopo.
Tatizo la ajira lingetoweka.
Mkuu mbali ya kutanguliza muono wako, tujitahidi kila mara tuwe objective na tujitahidi kuwa na comparative analysis ya suala la mikopo kwa kufananisha na nchi mbali mbali zenye mazingira kama yetu..Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kwa mtazamo wangu, sababu ni hizi:
1. Miradi hii imeshaanza kutekelezwa, hivyo ni lazima tupambane iishe vinginevyo itakuwa ni aibu na pigo kisiasa.
2. Tumeshatangaza kwa umma na dunia kuwa miradi hii ni lazima ikamilike na ahadi hii kwa watanzania teyari ni deni la kisiasa na pia ikifeli ni kete kwa wapinzani.
3. Tumeshaingia mikataba na wakandarasi na sijui kama mikataba tulioingia inatambua kusitishwa kwa mradi wakati wowote ule na kwasababu yoyote ile bila kuwa na gharama ya kusitisha mradi husika.
4. Kitaalamu sijui kama inawezekana/ inashauriwa kusitisha miradi ya aina hii pale inapokuwa tayari imeshaanza kutekelezwa.
5. Kusimamisha miradi hii kwa muda sidhani kama ndio itakuwa ni kusimamisha gharama za mradi kwa asilimia 100 ili hali mitambo na vitu vingine tayari viko site na kazi ya ujenzi tayari ilishaanza.
Hivyo basi, kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu na nyingine ambazo inawezekana sijazitaja, sioni kama tutaingia kwenye meza ya mazungumzo tukiwa na jeuri ya kukataa mashariti magumu iwapo yatatolewa na Wachina au mtu mwingine yeyote atakaekuwa tayari kuokoa jahazi kwa kuwekaza fedha zake katika hii miradi.
Vile vile sidhani kama mchina au mtu mwingine yeyote ataacha ku-take advantage ya hali hii kutunyonya tofauti na ku-negotiate wakati mradi/miradi bado haijaanza kutekelezwa.
Tusubiri.
Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).

Inalekea ulikuwa hulipi kodi wewe, unaandika mpaka unaharibu keyboard kwa hasira?Serikali hii imeshaharibu kila sekta, hakuna hata sehemu moja ambayo imesalimika na bado ipo kwenye spidi ya 4G kuharibu zaidi.
Tatizo baya zaidi ni viongozi wanaona ufahari wa kukusanya mapato kwa nguvu na utapeli kwa wananchi/ wafanyabiashara/ wawekezaji na sasa mpaka kwa wakulima.
Fikra zao ni finyu kama mbegu ya karanga, hawajiulizi serikali itakwenda mpaka lini kwa huu mwenendo wao?
Bado kuna mapunguwani na majuha yanakaa kwenye ofisi zenye kiyoyozi na kupokea mshahara na marupurupu kibao, yanasimama na kutoa maelekezo "KILA MWEZI TRA WAKUSANYE TRILLIONI MBILI". Kwa hali na mazingira gani ya kibiashara iliopo sasa mpaka kukusanya kiasi hicho cha pesa?
It is stupidity beyond recognition of imagination, at the end only the weak dont get to choose how they die.
Kuna ufahari wa kila kichaa, ambao kichaa peke yake ndio anaouelewa huo ufahari.
Umesoma Lakini huelewi!Ni kama unapiga lamli, kwani hiyo miradi imesimama au inaendelea? Hebu tumia akili japo kidogo basi.
Mmmmh...unaijua mikopo ya wachina kweli mkuu.mikopo ya wachina Ni collateral.Hela ya Mchina Ni hatari kuliko ya wazungu.Mchina hacheki na ndio maana hana habari na cjui utawala bora yy ni manufaa ya kiuchumiy kutoka kwako.Madhsifu yako hayamhusu.MCHINA SI RAFIKI JINSI UNAWAZA.NI HATARI.Leo umeandika uzi maridhawa ingawa najua nia yako ni kuponda. Nadhani haitakuwa hivyo maana Wachina si wabaya, ila utashi wa Viongozi wa Kiafrika ndiyo mbaya na ufisadi. Tofauti kati ya westerners na Wachina ni pale ambapo nchi zao hazikubaliani na ufisadi katika mikopo angalia mfano wa kesi ya Kitilya ambapo lililipukia ulaya na si tanzania. Kwa uchina hawajali
Ila ukiwa na timu ambayo si ya kifisadi katika negotiations, Wachina wazuri tu. Aidha kumbuka sote (tz na China) tuna common enemy ambao ni westerners
Amini usiamini, unayoyasema ni kweli kwa client aliye fisadi. Ndo maana viongozi mafisadi kama JK wanawapenda maana wanawaeleza waongeze 20 percent nao wanakuwa na masharti ya kuua.Mmmmh...unaijua mikopo ya wachina kweli mkuu.mikopo ya wachina Ni collateral.Hela ya Mchina Ni hatari kuliko ya wazungu.Mchina hacheki na ndio maana hana habari na cjui utawala bora yy ni manufaa ya kiuchumiy kutoka kwako.Madhsifu yako hayamhusu.MCHINA SI RAFIKI JINSI UNAWAZA.NI HATARI.
Unahisi Ni kukariri,kuna siku yaja Afrika itakuwa ya mchina.Wewe unajua yaliyosainiwa na hao wanasiasa unaodhani ni wazalendo.Huwajui wanasiasa vizuri we.Mkopo wa mchina cyo km ule wa wazungu.Mradi unaoanzisha ndio dhamana ya mkopo.Amini usiamini, unayoyasema ni kweli kwa client aliye fisadi. Ndo maana viongozi mafisadi kama JK wanawapenda maana wanawaeleza waongeze 20 percent nao wanakuwa na masharti ya kuua.
Ukiwa na kiongozi mzalendo, hiyo hakuna na mnapata dili safi. Tatizo mmekariri tu. Na hata hao wazungu wana masharti ya kunyonga pia.
Kama awamu hii ya uongozi ilikinzana na China juu ya mkataba wa ujenzi wa Bandari Bagamoyo, iweje leo masharti ya wachina tuyaweze?Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kwa mtazamo wangu, sababu ni hizi:
1. Miradi hii imeshaanza kutekelezwa, hivyo ni lazima tupambane iishe vinginevyo itakuwa ni aibu na pigo kisiasa.
2. Tumeshatangaza kwa umma na dunia kuwa miradi hii ni lazima ikamilike na ahadi hii kwa watanzania teyari ni deni la kisiasa na pia ikifeli ni kete kwa wapinzani.
3. Tumeshaingia mikataba na wakandarasi na sijui kama mikataba tulioingia inatambua kusitishwa kwa mradi wakati wowote ule na kwasababu yoyote ile bila kuwa na gharama ya kusitisha mradi husika.
4. Kitaalamu sijui kama inawezekana/ inashauriwa kusitisha miradi ya aina hii pale inapokuwa tayari imeshaanza kutekelezwa.
5. Kusimamisha miradi hii kwa muda sidhani kama ndio itakuwa ni kusimamisha gharama za mradi kwa asilimia 100 ili hali mitambo na vitu vingine tayari viko site na kazi ya ujenzi tayari ilishaanza.
Hivyo basi, kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu na nyingine ambazo inawezekana sijazitaja, sioni kama tutaingia kwenye meza ya mazungumzo tukiwa na jeuri ya kukataa mashariti magumu iwapo yatatolewa na Wachina au mtu mwingine yeyote atakaekuwa tayari kuokoa jahazi kwa kuwekaza fedha zake katika hii miradi.
Vile vile sidhani kama mchina au mtu mwingine yeyote ataacha ku-take advantage ya hali hii kutunyonya tofauti na ku-negotiate wakati mradi/miradi bado haijaanza kutekelezwa.
Tusubiri.
Kuzengea zengea nini mkuu, nani kakwambia Wachina wanaganga njaa!!Teyari Wachina wameshaanza kuzengezengea ukiona ndege aina ya tai akizunguka angani sehemu fulani ujue chini kuna mnyama anakaribia kuwa mzoga.
Kwahiyo tukiambiwa tushike ukuta itakuwaje?
Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kwa mtazamo wangu, sababu ni hizi:
1. Miradi hii imeshaanza kutekelezwa, hivyo ni lazima tupambane iishe vinginevyo itakuwa ni aibu na pigo kisiasa.
2. Tumeshatangaza kwa umma na dunia kuwa miradi hii ni lazima ikamilike na ahadi hii kwa watanzania teyari ni deni la kisiasa na pia ikifeli ni kete kwa wapinzani.
3. Tumeshaingia mikataba na wakandarasi na sijui kama mikataba tulioingia inatambua kusitishwa kwa mradi wakati wowote ule na kwasababu yoyote ile bila kuwa na gharama ya kusitisha mradi husika.
4. Kitaalamu sijui kama inawezekana/ inashauriwa kusitisha miradi ya aina hii pale inapokuwa tayari imeshaanza kutekelezwa.
5. Kusimamisha miradi hii kwa muda sidhani kama ndio itakuwa ni kusimamisha gharama za mradi kwa asilimia 100 ili hali mitambo na vitu vingine tayari viko site na kazi ya ujenzi tayari ilishaanza.
Hivyo basi, kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu na nyingine ambazo inawezekana sijazitaja, sioni kama tutaingia kwenye meza ya mazungumzo tukiwa na jeuri ya kukataa mashariti magumu iwapo yatatolewa na Wachina au mtu mwingine yeyote atakaekuwa tayari kuokoa jahazi kwa kuwekaza fedha zake katika hii miradi.
Vile vile sidhani kama mchina au mtu mwingine yeyote ataacha ku-take advantage ya hali hii kutunyonya tofauti na ku-negotiate wakati mradi/miradi bado haijaanza kutekelezwa.
Tusubiri.
Bado kidogo Zambia watakabidhi Ikulu kwa wachina ili kufidia madeniBinafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa reli ya kisiasa (SGR).
Kwa mtazamo wangu, sababu ni hizi:
1. Miradi hii imeshaanza kutekelezwa, hivyo ni lazima tupambane iishe vinginevyo itakuwa ni aibu na pigo kisiasa.
2. Tumeshatangaza kwa umma na dunia kuwa miradi hii ni lazima ikamilike na ahadi hii kwa watanzania teyari ni deni la kisiasa na pia ikifeli ni kete kwa wapinzani.
3. Tumeshaingia mikataba na wakandarasi na sijui kama mikataba tulioingia inatambua kusitishwa kwa mradi wakati wowote ule na kwasababu yoyote ile bila kuwa na gharama ya kusitisha mradi husika.
4. Kitaalamu sijui kama inawezekana/ inashauriwa kusitisha miradi ya aina hii pale inapokuwa tayari imeshaanza kutekelezwa.
5. Kusimamisha miradi hii kwa muda sidhani kama ndio itakuwa ni kusimamisha gharama za mradi kwa asilimia 100 ili hali mitambo na vitu vingine tayari viko site na kazi ya ujenzi tayari ilishaanza.
Hivyo basi, kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu na nyingine ambazo inawezekana sijazitaja, sioni kama tutaingia kwenye meza ya mazungumzo tukiwa na jeuri ya kukataa mashariti magumu iwapo yatatolewa na Wachina au mtu mwingine yeyote atakaekuwa tayari kuokoa jahazi kwa kuwekaza fedha zake katika hii miradi.
Vile vile sidhani kama mchina au mtu mwingine yeyote ataacha ku-take advantage ya hali hii kutunyonya tofauti na ku-negotiate wakati mradi/miradi bado haijaanza kutekelezwa.
Tusubiri.
Tamaa ya fisi.Zile zilikuwa ni mbio za sakafuni na sasa zimefika ukingoni.