Serikali hii ya Magufuli itakuwa na ubavu wa kugomea masharti magumu ya Wachina ilhali wanataka kukamilisha miradi hii ndani ya miaka mitano?

Wewe na nyumbxxxxx wenzio wa CDM furaha yenu si miradi isipokamilika, tulia acha serikali ifanye kazi yake nyie endeleeni na kazi zenu za “uchawi “ wakati bado vijana.
Tatizo IQ yako kuna sehemu ina leakage, ndiyo maana unakurupuka kurohoja badala ya kutumia akili unatumia ugali kwenye hoja zinazo hitaji kutumia akili.
 
Kwa sasa ukitaka banda la kufanyia biashara pale Kariakoo wala huitaji kupitia kwa dalali maana mabanda yapo mengi sana mara baada ya kufungwa na wamiliki wake baada ya kushindwa kuendelea na biashara husika.
 
Uliona wapi mkate wa boflo ukawa mgumu mbele ya chai?
 
Watasifiwa saa ngapi?
 
Leo umeandika uzi maridhawa ingawa najua nia yako ni kuponda. Nadhani haitakuwa hivyo maana Wachina si wabaya, ila utashi wa Viongozi wa Kiafrika ndiyo mbaya na ufisadi. Tofauti kati ya westerners na Wachina ni pale ambapo nchi zao hazikubaliani na ufisadi katika mikopo angalia mfano wa kesi ya Kitilya ambapo lililipukia ulaya na si tanzania. Kwa uchina hawajali

Ila ukiwa na timu ambayo si ya kifisadi katika negotiations, Wachina wazuri tu. Aidha kumbuka sote (tz na China) tuna common enemy ambao ni westerners
 
Hana hiyo jeuri kwenye sheria za kimataifa,maana huo ubabe ushamuumiza kwa yule mkulima
Kwani yule mkulima alipata nini? kwanza yule mkulima hakuwa na mkataba chini ya Magufuli, alikuwa anadai mambo yaliyotokea miaka takribani iliyopita na bado hakupata kitu. Yule mwanasheria wa pale Moshi aliyemdanganya kuwa Tanzania imenunua ndege kakamate moja ulipwe hayuko naye tena baada kumwingizia hasara za malipo ya mahakama kule Gauteng na Ontario.
 
Wachina si wabaya wakati wanatuhumiwa na Internal Labour Organisation ILO kwa kukiuka sheria za kazi na haki za binadamu katika makampuni yao ya Afrika karibu yote.
 
Wacha upunguwani,hapa inaongelewa sirikali ya ccm
 
Wacha upunguwani,hapa inaongelewa sirikali ya ccm
Hujaongea kitu bali umeropoka tu; na hilo ndilo tatizo la watu wengi wa aina yako wanapingana na magufuli, hawaongei kitu cha maana bali huropokaropoka na kulalamika tu. Kuamini kuwa kuna siri ambayo CHADEMA wasingeijua kutokea huko Canada na South Africa ni ukosefu wa akili, kwani maswala hayo hayakuamliwa na mahakama za Tanzania.
 
Teyari Wachina wameshaanza kuzengezengea ukiona ndege aina ya tai akizunguka angani sehemu fulani ujue chini kuna mnyama anakaribia kuwa mzoga.
Duuhhh! Ni ukweli kabisa lakini unatisha na unauma sana.
 
Hapana, ni hawa Wachina masharti yao pindi wakitaka kukupa msaada huwa ni magumu mnooo, Nchi ya Zambia alipewa msaada ili kulipa ilibidi wachina hadi wakapewa kazi wakawa POIICE, walipewa kazi ya u-police
Japo sijaona polisi wa kihindi au kiarabu Tanzania lakini nauliza je mchina hawezi kuwa raia wa Zambia na akapatiwa fursa yoyote ile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…