ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais tuliyemchagua kufariki akiwa madarakani.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais tuliyemchagua kufariki akiwa madarakani.