ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Ndio wahuni mnaotolewa pangoni na mhuni mwenzenu slow eehh.Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais tuliyemchagua kufariki akiwa madarakani.
Kujifariji ni jambo jema,unamaanisha mama ataanza kuhesabu mikumi tena kuanzia 2025?Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais tuliyemchagua kufariki akiwa madarakani.
Sukuma gang unapata tabu sana...na bado...Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais tuliyemchagua kufariki akiwa madarakani.
Utaipenda hata kama hutakiMzenji haamini ilo
Mwenyewe Hangaya hataki kabisa kusikia hizo habari za kuwaita wa mpitoHuu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais tuliyemchagua kufariki akiwa madarakani.
Sukuma gang kwa sasa wamekuwa kama wamepigwa bom la HiroshimaSukuma gang unapata tabu sana...na bado...
Pumbaf sana wewe kwani wachaga wamekukosea nini?Acha chokovhoko wewe mchagga!
SSH sio mjinga kama wao, wanadhani wakisema hivyo ndio watapata Urais,mama kakaza tafuteni Kazi ya kufanya .Mwenyewe Hangaya hataki kabisa kusikia hizo habari za kuwaita wa mpito
Wewe mmakonde ya wachaga hayakuhusu.Pumbaf sana wewe kwani wachaga wamekukosea nini?
StupidWewe mmakonde ya wachaga hayakuhusu.
Endelea kulinda mikorosho ya Zitto hapo Ntwara!
Kamata lindo hapo Nanguruwe!Stupid
Umetumwa na wakina Kassimu ?Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais tuliyemchagua kufariki akiwa madarakani.
Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito.
Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais tuliyemchagua kufariki akiwa madarakani.
Mbora ndugai awe Rais 2025 c mzanzibarCcm Hawataki Serikali Yao Kuitwa Ya Mpito Nzani Hii Ni Kutaka Kuhalalisha Mzanzibari Kusimama Peke Yake Kwenye Kura Ya Maoni