olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
Mwezi uliopita (May, 2024) kampuni inayomiliki mtandao wa kijamii X zamani Twitter, wametoa notice kuwa sasa ni rasmi maudhui ya kingono/ponographic contents, maudhui ya mapenzi ya jinsia moja yaan LGBTQ yameruhusiwa na watu wanaweza kuanza kujirekodi na kusambaza kwenye mtandao huo.
Hoja yangu ni hii, Serikali imekuwa ikizuia website zote zinazoonyesha picha, video na maandishi ya kingono na yanayoshabikia mapenzi ya jinsia moja.
Maswali ninayojiuliza ni haya
1. Kwanini Serikali izuie website za ngono wakati twitter maudhui hayo hayo yanapatikana?
2. Leo hii JamiiForums ikiamua kuweka kipengele cha picha za ngono serikali itaiacha?
3. Kwanini Serikali isiachie website zote iwe huru? kuliko kuwa na platforms kama Twitter ambazo zinasambaza maudhui hayo hayo yanayokatazwa? Au platform kubwa zinaogopwa?
Kama wanalinda kizazi kisiharibike nasubiri nione kwa twitter
Angalieni hii link chini kuona notice ya Twitter kuruhusu maudhui ya ngono
Twitter adult content notice
Pia soma>> Watanzania wamefungiwa internet