Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
Mimi nilidhani huwa naona peke yangu huo unyang'anyi wa serikali, maana kuna mijitu inakaa kupiga kelele ooh tuiunge mkono serikali, sijui uzalendo wa kizwazwa, hii serikali ni majambazi na intruders.Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
Hongera mkuu una hata mshahara mkubwa, wengine hiyo PAYE ndio salary, na kuna wengine hiyo HESLB ndio salary. All in ALL you cant be rich by depending on employmentInasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
Duuuuhhh Ni hatarii sana
Afadhali kwa mfanyabiashara anaweza akaavoid au akaevade Kodi lkn mfanyakazi haweziUkisema Wafanyakazi kwani Wafanyabiashara na Wakulima wao wana afadhali?
Mkuu, unatutukana mchana kweupe !!, sisi hatujijari ?.Unawasemea watu ambao hawajali
Ukisema Wafanyakazi kwani Wafanyabiashara na Wakulima wao wana afadhali?