MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,391
Wafanya biashara wanalipa kodi ndogo sana kuliko waajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfanyabiashara analipa kodi ya mapato kwa mwaka mzima,mf duka la jumla Tshs 330,000/= wakati mfanyakazi kuna mwingine anakatwa hiyo anayokatwa mfanyabiashara kila mwezi,sasa jiulize kwa mwaka anakatwa hela ngapi ya kodi,mtoa mada kwa asilimia kubwa yupo sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app