Mfanyabiashara analipa kodi ya mapato kwa mwaka mzima,mf duka la jumla Tshs 330,000/= wakati mfanyakazi kuna mwingine anakatwa hiyo anayokatwa mfanyabiashara kila mwezi,sasa jiulize kwa mwaka anakatwa hela ngapi ya kodi,mtoa mada kwa asilimia kubwa yupo sawa.
Duniani kote walipa kodi wakubwa ni waajiriwa.Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
Mkuu hiyo ndo African education,inawaandaa watu kuja kuajiriwa,pamoja na makato hayo makubwa bado wasomi wameendelea kutafuta hizo kazi kwa mbinde na hata ikibidi wahonge ili waajiriwe..Muhimu ni kutafuta multiple sources ili kukidhi mahitaji na sio kutegemea salary 100%.
Mkuu we acha tu,kuna ndugu yng naionaga salary slip yake tena mshahara wake si mkubwa anakatwa Tshs.235,104/= kwa mwezi,yaani hapo hata mfanyabiashara mwenye li-hardware kubwa sidhani kama kwenye kodi ya mapato analipa zaidi ya Tshs 1,000,000 kwa mwaka.
Mfumo wa kodi unawakandamiza sana watumishi wa sekta binafsi na umma ambao wengi wao wanaunga unga mwana sana kuliko wafanyabiashara
Mkuu hiyo ndo African education,inawaandaa watu kuja kuajiriwa,pamoja na makato hayo makubwa bado wasomi wameendelea kutafuta hizo kazi kwa mbinde na hata ikibidi wahonge ili waajiriwe..Muhimu ni kutafuta multiple sources ili kukidhi mahitaji na sio kutegemea salary 100%.
Mshahara ukishazidi laki nne inakuwa cancer vile makato ni kama kuelekea zaidi ya 50%. Unajuta kupokea mshahara mkubwa vile!
Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
Yaani Ni ukatili wa hali ya juuSijawahi ona ukatili kama hu.
Tukitoa PAYE makato mengine yanakuhusu wewe na mengine yanakupa unafuu wa maisha. Loan board ulikopa mwenyewe ukasome. PSSSF ni akiba uzeeni au ukistaafu. Umesahau nyongeza ya 15% au 10% ya basic salary ya mshahara wako wa 2,480,000 ambao serikali inakulipia lakini hauonyeshwi kwenye salary slip! Kama unaona unanyonywa acha kazi ujiajili ndo utagundua huwezi na huna akili ya kujilipa hata robo ya anachokulipa mwajiri! Kalaghabao wewe!Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
Inasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
Msipende kudanganya watu hapo makato ya kodi ni shs 536,541 tu. Fedha nyingine ni kwa faida ya mtumishi. Wasioelewa HESLB ni fedha aliyopewa mtumishi akiwa mwanafunzi kama asingekopa isingekatwa na wala sio watumishi wote wanaokatwa fedha hiyo. PSPF/NSSF ni akiba ya mtumishi atakapoacha kazi au kustaafu inatunzwa kwa faida yake ya baadae. Na Health Insurance ni fedha ya matibabu huitaji kulipia matibabu yako kutoka mfukoni hiyo ni bima ya matibabu. Halafu anaandika fedha inaenda serikalini bila aibu anasema inachukua nusu kwa nusu sio kweli toa tafsiri iliyosahihi kinachochukuliwa na serikali bila kurudiahwa ni 536,541 tu. TUWE WA KWELIInasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
mzee unavuta mzigo mkubwa sanaInasikitisha kuona kuwa Serikali inagawana sawa mshahara wa mfanyakazi, Yaani mfanyakazi anachukua nusu na Serikali nusu harafu bado mnatushauri tuisifu Serikali.
View attachment 1376512
Private sector, so wao ndo wanafanya kugharamia suala la health insurance,Alafu mbona hiyo health insurance Mbona makato yake nimadogo sana kwanini nasisi ambao tumejiajiri wasitufanyie hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza vizuri ila umemaliza vibaya. Suala la wafanyakazi kudai haki siyo Jambo baya. Huwezi mshauri mtu kwamba kuliko adai Hali yake Basi ni Bora aache kaziTukitoa PAYE makato mengine yanakuhusu wewe na mengine yanakupa unafuu wa maisha. Loan board ulikopa mwenyewe ukasome. PSSSF ni akiba uzeeni au ukistaafu. Umesahau nyongeza ya 15% au 10% ya basic salary ya mshahara wako wa 2,480,000 ambao serikali inakulipia lakini hauonyeshwi kwenye salary slip! Kama unaona unanyonywa acha kazi ujiajili ndo utagundua huwezi na huna akili ya kujilipa hata robo ya anachokulipa mwajiri! Kalaghabao wewe!
Kwa hiyo kumkata mtu laki tano Kama Kodi Ni Jambo la kawaida? HESLB na PAYE Ni vutu ambavyo kwa Serikali inayojali wafanyakazi inaweza kuvipunguza na kukata kidogo kidogo kuliko kukwangua pesa yote ya mfanyakaziMsipende kudanganya watu hapo makato ya kodi ni shs 536,541 tu. Fedha nyingine ni kwa faida ya mtumishi. Wasioelewa HESLB ni fedha aliyopewa mtumishi akiwa mwanafunzi kama asingekopa isingekatwa na wala sio watumishi wote wanaokatwa fedha hiyo. PSPF/NSSF ni akiba ya mtumishi atakapoacha kazi au kustaafu inatunzwa kwa faida yake ya baadae. Na Health Insurance ni fedha ya matibabu huitaji kulipia matibabu yako kutoka mfukoni hiyo ni bima ya matibabu. Halafu anaandika fedha inaenda serikalini bila aibu anasema inachukua nusu kwa nusu sio kweli toa tafsiri iliyosahihi kinachochukuliwa na serikali bila kurudiahwa ni 536,541 tu. TUWE WA KWELI
Sent using Jamii Forums mobile app