kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu mwaka jana walijitapa kuwa bwawa la kidunda litakamilika kufikia June 1 2026
Tena wakijitapa kuwa mradi upo asilimia 40 kwa wakati ule
Leo hii ni june lakini ndo kwanza mradi wanasema upo 50% means kwa miezi 7 yote wamejenga 10% tu means kwa hesabu ya haraka percentage ilobaki watatumia miaka 2 kukamilika!!
Hii samia regime sijui kwanini wanapenda kusema uongo hivi
Soma pia

- Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali waridhishwa na kasi ya utekelezaji bwawa la kidunda
- Msigwa: Bwawa la Kidunda ni mradi wa kimkakati kwa Maji, Kilimo na Nishati
- Msigwa: Bwawa la Kidunda ni mradi wa kimkakati kwa maji, kilimo na nishati
- Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira yapongeza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda Mkoani Morogoro