Watawala huongea ili kutuliza hali iliyopo kwa wakati huo.
Raisi Ali Mwinyi alisema itajengwa njia chini ya bahari kutoka Magogoni kwenda Kigamboni. Hii ilikuwa baada ya watu kuzama walipokuwa wakivuka kwa mashua. Makofi mengi yalipigwa
Kufuatia shida kubwa ya maji Raisi Ali Mwinyi tena akasema kuna mpango wa kusafisha maji ya bahari kutatua tatizo hilo.