Serikali iangalie kwa umakini haya magroup ambayo yanaanzishwa na Madaktari kutibia watu na kutoza pesa

Serikali iangalie kwa umakini haya magroup ambayo yanaanzishwa na Madaktari kutibia watu na kutoza pesa

Nipo kwenye Group moja linaitwa Group la Afya likiwa limeanzishwa na Bwana Mmoja anaitwa Mwanyika. Kwa maelezo yake ni Daktari.

Anaweza kuwa na nia nzuri ya kusaidia watu kwa ushauri na wakati fulani kuwasaidia wasiingie gharama ya kwenda hospital kutokana na ushauri anaoutoa lakini wasiwasi wangu ni kuwa huko mbeleni kunawezekana kuwa na athari flani.

Mimi nipo kwenye group hilo muda mrefu sana nikiwa na namba 3 tofauti tofauti. Kuna wakati jamaa alishawahi hata kuniomba kwa ushauri alionipa nimpoze kidogo nikamtumia tsh 20,000.

Nliona ni sawa amenisadia kwa kweli lakini nmekuja shtuka kuwa sometimes kuna watu hatuendi hosp tunategemea Uaguzi kama huu. Yeye huwa anasema mwambie dalili zako then anasema una malaria, una typhoid au unaweza kuwa na covid 19.

Nashauri magroup kama haya yaandikishwe ili kuwepo mfumo mzuri wa kuhudumia watu distance medicating/treatment. Sisi kwenye group tunashukuru sababu sasa madaktari wanafanya kazi kwa kutumia mtandao ndo mambo ya kisasa.

Inapunguza gharama za kwenda hospitali na foleni pia.
Mimi mke wangu hapiki usiku, serikali iingilie kati
 
Wewe ni mnafiq kama mchawi tu, umesaidika lkn bado unataka wabanwe, hivi kwanini wabongo wengi mna roho za kichawi
Hivi sijui hata mtihani wako wa darasa la saba uliufanyaje... Kilaza unashindwa elewa kiswahili chepesi kama hicho? JPM mijitu kama hii uanzishe utaratibu iwe inachomwa moto. Inaongeza wingi tu wa watanzania bure.
 
Baada ya kukupa ushaur alikwambia usiende kupima au ujinga wako ndyo ulikufanya usiende kupima ukaamua kulipa 20,000 kuomba ushaur?
 
Back
Top Bottom