Serikali iangalie utaratibu mzuri jinsi ya kuwafidia Wakandarasi

Serikali iangalie utaratibu mzuri jinsi ya kuwafidia Wakandarasi

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa inawapa hasara kubwa.

Ni vyema Tanroads na Tarura wakakaa chini na Wakandarasi waone jinsi ya kuwarekebishia gharama zao za utekelezaji wa kazi zao.
 
Ni uzembe wa waandaa miradi, unapofanya project estimation unashindwaje kuweka asilimia kadhaa za price fluctuation , kama mabadiliko ya bei yatatokea inafidia bila kukutia hasara.
 
Back
Top Bottom