Wakandarasi wengi wa Tanroads na Tarura walipewa kazi kabla bei za vifaa vya ujenzi na mafuta kupanda. Ieleweke kuwa asilimia kubwa ya vifaa vinavyotumika katika ujenzi vimepanda bei kwa asilimia kubwa na bei iliyofikiwa kati ya Wakandarasi kwa sasa ni ya chini sana na kazi wanazofanya kwa sasa inawapa hasara kubwa.
Ni vyema Tanroads na Tarura wakakaa chini na Wakandarasi waone jinsi ya kuwarekebishia gharama zao za utekelezaji wa kazi zao.
Ni vyema Tanroads na Tarura wakakaa chini na Wakandarasi waone jinsi ya kuwarekebishia gharama zao za utekelezaji wa kazi zao.