Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Mkuu wa Mkoa yupo likizo.Kuna mkuu wa mkoa na mbunge ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wa Mkoa yupo likizo.Kuna mkuu wa mkoa na mbunge ...
Wanauliza sana tu! Na inabidi kuwaelezea Maana wameuliza. Ila wanatushangaa sana kwa mtindo huo. Wanasema kwao haipo hiyo!!Hiyo barabara ina mashimo na viraka kila mahali na mpango wa serikali ni kuongeza double road toka tengeru mpaka momela kama km 8-10
Huko kwingine kuweni makini msiue watalii kwenye mashimo
Mkuu Lukenya watalii awaulizi hayo mabango ya rais yaliyobandikwa kila mahali ni ya nini
Mana badala ya kubandika vivutio mbalimbali tulivyonavyo nchini serikali imekaza kubandika picha za rais.
Yule mshamba walishasaini mkataba na Uhuru Kenyata Kenya waanzie voi hadi holili na Tanzania holili hadi Arusha ila yule mwehu akasema kaskazini mmshaenderea ngoja na wengine Sasa, jinga sana lile na likabila sana! Ben Saa8 Yuko wapi? PhD fake!Wachaga subirini kwanza tumalize kujenga miradi yenye maana kanda ya ziwa
Hao ndio wawakilishi , haijalishi imepita wapi ila inaangaliwa inaunganisha wapi na wapi.Kwamba mkuu wa mkoa arusha na mbunge wake? hivi unajua hiyo barabara inayozungumziwa imepita wilaya ngapi na majimbo mangapi ya uchaguzi?
Kuhusu barabara kuwa na mashimo ni sawa na inakera! Ila ni sehemu ya upotevu wa muda ku slow down sambamba na hizo speed limits na traffic jams,mfano kuanzia Kikatiti unaweza ukatembea nyuma ya lorry linalotembea 20,kph hadi utoboe Tengeru. Ukijaribu tu kuli over take hata kama road is clear unakutana na vazi jeupe na kofia nyeupe mkono juu kama refa ameona faulo uwanjani wkt wa mechi. Sasa Kila mahali tunasimamishwa hadi wageni wanashangaa. Kwa kweli tunapoteza muda mwingi barabarani. Tunaitaka serikali ilitazame hili! Otherwise kuhusu mashimo wageni inabidi wazoee tu maana hata huko chaka kwenyewe hakuna lami.😆😆Hiyo barabara ina mashimo na viraka kila mahali na mpango wa serikali ni kuongeza double road toka tengeru mpaka momela kama km 8-10
Huko kwingine kuweni makini msiue watalii kwenye mashimo
Mkuu Lukenya watalii awaulizi hayo mabango ya rais yaliyobandikwa kila mahali ni ya nini
Mana badala ya kubandika vivutio mbalimbali tulivyonavyo nchini serikali imekaza kubandika picha za rais.
Acha ubaguzi
Yule mshamba walishasaini mkataba na Uhuru Kenyata Kenya waanzie voi hadi holili na Tanzania holili hadi Arusha ila yule mwehu akasema kaskazini mmshaenderea ngoja na wengine Sasa, jinga sana lile na likabila sana! Ben Saa8 Yuko wapi? PhD fake!
Utatuzi wa 1. ni reli ifanye kazi , lakini kuna watu hawataki ifanye kazi , utatuzi wa pili ni barabara mbili kila upande