Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana.

Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.

Teh teh teh, mavi-jana ya CCM yana uelewa mdogo kabisa wa Jografia! Sina hakika kama mengi yamesoma! Hayaelewi hata vikwazo vya kutumia mito kwa usafiri hapa nchini! Kapumbavu kengine kanasema eti DRC wanatumia mito kwa vile barabara zao mbovu, shemzi kabisa!! Elimu ya wapi hii?
 
Swala la kutumia mito kwa kusafirisha abiria inategemea na ukubwa wa mto wenyewe,mito yetu inafaa kwa kutumika kwa vyombo vidogo na sio vyenye ukubwa wa meli kwani mingi ni midogo na kipindi cha kiangazi huwa inakuwa na kina kidogo sana cha maji, huwezi kulinganisha na mito kama Rhine,Amazon,Congo,Zambezi au Nile...
 
... UVCCM kwa vituko mko vizuri! How many rivers does this country have? How many are navigable? Suala ni uwepo wa hiyo mito na navigability; na ingekuwa ipo ingelikuwa inatumika toka binadamu alivyoanza kuishi eneo husika wala isingehitaji serikali "iingilie kati" kama unavyoshauri. Labda muanze project ya kujenga mito and come 2025 kila wilaya iweze kufikiwa kwa usafiri wa mto!
 
Teh teh teh, mavi-jana ya CCM yana uelewa mdogo kabisa wa Jografia! Sina hakika kama mengi yamesoma! Hayaelewi hata vikwazo vya kutumia mito kwa usafiri hapa nchini! Kapumbavu kengine kanasema eti DRC wanatumia mito kwa vile barabara zao mbovu, shemzi kabisa!! Elimu ya wapi hii?
St. Kayumba International.
 
Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana...
Kumbe wewe taga ni mweupe hivyo kichwani, geography ya form two hii, hujui kwanini mito mingi ya africa Tanzania ikiwemo haitumiki kwa usafirishaji.
 
Hatuna utamaduni huo kama wazungu. Wenzetu hata miji walijenga kwenye midomo ya mito ili kuitumia kwa usafiri. Ndiyo maana wajerumani walipapenda Pangani.

Hivi unajua kwanini ulaya kunaitwa mamtoni? Ni sababu ya kujenga miji kando ya mito. London imejengwa mtoni. Kusema mito yetu haifai kwa usafiri ni sababu za kusingizia. Kifupi siyo utamaduni wetu na hatuna akili ya kufanya mto utumike kwa usafiri.
 
Hatuna utamaduni huo kama wazungu. Wenzetu hata miji walijenga kwenye midomo ya mito ili kuitumia kwa usafiri. Ndiyo maana wajerumani walipapenda Pangani...
Sio utamaduni Kaka,Ni kwamba nature ya jiografia ya mito yetu huwezi kuweka chombo kikubwa Cha usafiri,na pia huwezi safiri umbali mrefu.

Au pengine Kuna mto unaujua unafaa uniambia niongee na mamlaka husika tukawaoneshe!
 
Mto Ruvu na Wami ina mamba wa.kutosha sa mjichanganye.muone

[emoji246][emoji246][emoji246][emoji246]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mamba sio tatizo; the Nile ndio mto wenye mamba hatari zaidi duniani. Mto kama Ruvu msimu wa kiangazi almost unabaki tope tu! Lakini pia mito ya nchi hii mingi ni mabonde ya msimu tu wa masika baada ya hapo maji yanapungua sana kama sio kukata kabisa au kuwa very shallow. Pia ina kona kona nyingi, narrow, na maporomoko kila baada ya umbali mfupi.
 
Kumbe wewe taga ni mweupe hivyo kichwani, geography ya form two hii, hujui kwanini mito mingi ya africa Tanzania ikiwemo haitumiki kwa usafirishaji.
Namshangaaa wakati tukienda mafia
Safari tunaanzia mto rufiji mpaka unaingia
Baharini....
Tatizo mtu anakaa ana google anakuja na idea
Huku amekaaa kwenye kiti

Teh teh

Ova
 
Sio utamaduni Kaka,Ni kwamba nature ya jiografia ya mito yetu huwezi kuweka chombo kikubwa Cha usafiri,na pia huwezi safiri umbali mrefu....

Au pengine Kuna mto unaujua unafaa uniambia niongee na mamlaka husika tukawaoneshe!
Wenzetu huwa wanaiboresha. Wana itanua , wanajenga mabwawa kiasi maji yanakuwa yapo mwaka mzima, Kwenye miinuko wanajenga ngazi sehemu za meli kupanda nk. Kwa mito ilivyo kwa wenzetu ungeshangaa bandari ipo Moro. Kwenye mto Rufiji au Ruvuma ungeshangaa bandari ipo hata km 200 toka baharini.
 
... UVCCM kwa vituko mko vizuri! How many rivers does this country have? How many are navigable? Suala ni uwepo wa hiyo mito na navigability; na ingekuwa ipo ingelikuwa inatumika toka binadamu alivyoanza kuishi eneo husika wala isingehitaji serikali "iingilie kati" kama unavyoshauri. Labda muanze project ya kujenga mito and come 2025 kila wilaya iweze kufikiwa kwa usafiri wa mto!

Ha ha ha alaf hao vijana huwa wanajiona wana akili kweli
 
Mto Ruvu na Wami ina mamba wa.kutosha sa mjichanganye.muone

[emoji246][emoji246][emoji246][emoji246]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mamba tu, ni mamba wenye njaa kali🤣
20210121_143904.jpg
 
Back
Top Bottom