St. Kayumba International.Teh teh teh, mavi-jana ya CCM yana uelewa mdogo kabisa wa Jografia! Sina hakika kama mengi yamesoma! Hayaelewi hata vikwazo vya kutumia mito kwa usafiri hapa nchini! Kapumbavu kengine kanasema eti DRC wanatumia mito kwa vile barabara zao mbovu, shemzi kabisa!! Elimu ya wapi hii?
... UVCCM mmeamua ku-expose ujinga wenu live.Congo barabara zao mbovu that's why
Sio kila mtu unaweza kusafiriaTanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana...
Kumbe wewe taga ni mweupe hivyo kichwani, geography ya form two hii, hujui kwanini mito mingi ya africa Tanzania ikiwemo haitumiki kwa usafirishaji.Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana...
Sio utamaduni Kaka,Ni kwamba nature ya jiografia ya mito yetu huwezi kuweka chombo kikubwa Cha usafiri,na pia huwezi safiri umbali mrefu.Hatuna utamaduni huo kama wazungu. Wenzetu hata miji walijenga kwenye midomo ya mito ili kuitumia kwa usafiri. Ndiyo maana wajerumani walipapenda Pangani...
Mkuu mamba sio tatizo; the Nile ndio mto wenye mamba hatari zaidi duniani. Mto kama Ruvu msimu wa kiangazi almost unabaki tope tu! Lakini pia mito ya nchi hii mingi ni mabonde ya msimu tu wa masika baada ya hapo maji yanapungua sana kama sio kukata kabisa au kuwa very shallow. Pia ina kona kona nyingi, narrow, na maporomoko kila baada ya umbali mfupi.Mto Ruvu na Wami ina mamba wa.kutosha sa mjichanganye.muone
[emoji246][emoji246][emoji246][emoji246]
Sent using Jamii Forums mobile app
Namshangaaa wakati tukienda mafiaKumbe wewe taga ni mweupe hivyo kichwani, geography ya form two hii, hujui kwanini mito mingi ya africa Tanzania ikiwemo haitumiki kwa usafirishaji.
Wenzetu huwa wanaiboresha. Wana itanua , wanajenga mabwawa kiasi maji yanakuwa yapo mwaka mzima, Kwenye miinuko wanajenga ngazi sehemu za meli kupanda nk. Kwa mito ilivyo kwa wenzetu ungeshangaa bandari ipo Moro. Kwenye mto Rufiji au Ruvuma ungeshangaa bandari ipo hata km 200 toka baharini.Sio utamaduni Kaka,Ni kwamba nature ya jiografia ya mito yetu huwezi kuweka chombo kikubwa Cha usafiri,na pia huwezi safiri umbali mrefu....
Au pengine Kuna mto unaujua unafaa uniambia niongee na mamlaka husika tukawaoneshe!
Teh!teh!!teh!!!Umeelewa hata hii mada inahusu nini?Unaelewa kuwa usafiri kwa njia ya mto ni miongoni mwa shughuli za kitalii?Congo barabara zao mbovu that's why
... UVCCM kwa vituko mko vizuri! How many rivers does this country have? How many are navigable? Suala ni uwepo wa hiyo mito na navigability; na ingekuwa ipo ingelikuwa inatumika toka binadamu alivyoanza kuishi eneo husika wala isingehitaji serikali "iingilie kati" kama unavyoshauri. Labda muanze project ya kujenga mito and come 2025 kila wilaya iweze kufikiwa kwa usafiri wa mto!
Teh teh mambo ya ku google imetuletea shida sanaHa ha ha alaf hao vijana huwa wanajiona wana akili kweli
Sio mamba tu, ni mamba wenye njaa kališ¤£Mto Ruvu na Wami ina mamba wa.kutosha sa mjichanganye.muone
[emoji246][emoji246][emoji246][emoji246]
Sent using Jamii Forums mobile app