Serikali ianze mikakati ya mito kutumika kwa usafiri wa umma na utalii

Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana...
Naomba tu nikufahamishe mito yetu tunatumia sana kwa boat ndogo nashangaa hufahamu hilo.

Mfano Mto Rufiji unaweza kutoka Selous Game Reserve hadi Bahari ya Hindi kwa boat na watu wanafanya routes hizo mara kazaa, Binafsi nimewahi toka Daraja la Mkapa kupitia Mto Rufiji mpaka Nyamisati Bahari ya Hindi kama utalii.

Unachokisema kinafanyika kwa utalii ila kwa usafiri wa umma ni ngumu sana kwa mito hii ya ndani ya bara isipokua maeneo ya pwani mengi wanasafiri kwa usafiri wa uma kwa kupitia mito mfano Wilaya ya Kibiti na Kilwa. Kuna watu wanishi Pombwe, Jaja, Kiasi nk wao usafiri wao ni mito tu na wana boat zao kabisa za abiria.

Kuna watu wanaishi Pande huko Kilwa pia wanatumia mto kutoka Kilwa Masoko kwenda Pande na nauli ni shs elfu 3 sijui wewe unamaanisha nini kusema mito inatiririka bure tu?
 
Naomba tu nikufahamishe mito yetu tunatumia sana kwa boat ndogo nashangaa hufahamu hilo...
Yeah maana kuna wakati mito maji hupungua na kwa matumizi ya boti kubwa ni shida ila kwa mitumbwi sawa
Sasa sijui huyu mleta mada anauzoefu ashawahi kunasa na boti kwenye fungu mtoni [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Yeah maana kuna wakati mito maji hupungua na kwa matumizi ya boti kubwa ni shida ila kwa mitumbwi sawa
Sasa sijui huyu mleta mada anauzoefu ashawahi kunasa na boti kwenye fungu mtoni [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Hana uzoefu na hafahamu kabisa haya makitu, Ati alinasa funguni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Akiongelea mto anawaza mto Msimbazi hajui Mto Ruvuma watu wanatumia vyombo pia, Mtu anaweza tokea Mtambaswala wilaya ya Nanyumbu hadi Msimbati Mtwara kwa kupitia mto Ruvuma.
 
Hivi chama hakioni kwamba hawa vijana humu waliojinasibu wao ni CCM kwamba wanachafua taswira ya chama kwa kuwa vilaza namna hii???

Mbona Sisi wengine pia ni wana CCM lakini akili zetu ziko sawasawa sio kama hawa kina bia yetu na wenzie???
 
MATAGA hii mada kwenye Jografia hawakuisoma ndiyo maana yamekurupuka na mada utafikri mataahira!
 
duh hujuwi kuwa sisi mito yetu ni ya maporomoko yao sio ya maporomoko ya kwao ipo level moja sawa na maziwa nitukane
 
Nashukuru hilo nilikuwa sijui kuwa iko mito kuna usafiri wa uma nadhani na sehemu nyingine waige huko.

Kama tunavyotengeneza barabara hata mito yetu twaweza itengeneza kwa kuipanua na kuweka level sehemu ambazo haziko level ili zitumike na boat kusafirisha abiria kutoka sehemu moja kwenda ingine
 
Kipindi flani wasukuma walihamia kulisha mifugo huko ruaha Mto ukakauka na bwawa la umeme watu wakawa wanalima salade mle ndani[emoji28][emoji28]ccm mmetukwamisha sana
 
Uingereza wana barabara nzuri sana lakini bado kuna usafiri wa mtoni tena katikati ya london

Bahari imekushinda . Hakuna speed boat ya dar to bagamoyo, tanga and mombasa. Mliishia kununua kivuko kibovu kifisadi . Mkiongozwa na aliyekuwa wazir wa ujenzi wakati huo ambaye leo anajiita kupambana na rushwa . Mbona ameishia kukikabidhi jeshini???
Mzalendo MAGUFULI bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…