Watu wakiacha kujenga ndo furaha yako? Hatujafikia kuiga hayo, ama kodi hiyo itakuwa ya kibaguzi?Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Wazo zuri ila jamaaa una ROHO MOJA MBAYA ...[emoji23] [emoji23] NO offence!!Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Wadanganyika wengi ni hasara kwa TaifaNch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Kamati ya roho mbayaWazo zuri ila jamaaa una ROHO MOJA MBAYA ...[emoji23] [emoji23] NO offence!!
Hapa Unaongelea plot Sio nyumba.Main house ndio nyumba yenyewe hao wanaoushi kwenye mabanda yawe ya kuku au servant quarter hawahusiki .Nyumba yenyewe Ni hiyo main house.As far as kuna occupants in the premises, I’d doesn’t matter whether they are in a a main house or not.
Unaelewa maana ya kodi hio huko Canada?Huko watu wenye Pesa wana nunua majumba lakini hawataki kuyapangisha wala hawayatumii.Sasa huko Kagera ukianzisha hio kodi lengo lake ni kuwaambia wapangishe wawapangishie kina nani sasa?Maana hata wakisema wakodishe hizo nyumba hamna wakodishaji.Jifunze kufikiriNch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Basi tuwaacha ndaniHapa Unaongelea plot Sio nyumba.Main house ndio nyumba yenyewe hao wanaoushi kwenye mabanda yawe ya kuku au servant quarter hawahusiki .Nyumba yenyewe Ni hiyo main house.
Wakodishaji wapo .Mfano una ghorofa kijijini kagera au Kilimanjaro ukisema unalipangisha kwa shilingi elfu Tano kwa mwezi hutapata wapangaji kijijini?Unaelewa maana ya kodi hio huko Canada?Huko watu wenye Pesa wana nunua majumba lakini hawataki kuyapangisha wala hawayatumii.Sasa huko Kagera ukianzisha hio kodi lengo lake ni kuwaambia wapangishe wawapangishie kina nani sasa?Maana hata wakisema wakodishe hizo nyumba hamna wakodishaji.Jifunze kufikiri
Wewe kila siku unakwea kuwa shetani Mkuu!Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Mkuu upangishe kwa elfu,hio ndo marketi price?Umesikia hicho ni choo cha kuogea?Kuna maeneo ambayo nyumba zinapangishika na watu wamezipangisha.Ila kuna maeneo hayaoangishiki.Vile vile nyumba inachukuliwa kuwa ni empy ikiwa haina occupant kabisa kwa mujibu wa official records.Ila kama mwenye nyumba anaishi Dar anakofanyia biashara na anaendaga kijiji na kuikia kwneye nyumba hio basi hio ni occupied unit.Kwa kule kwa wenzetu hawa ni watu wananunua majumba kwa ajili ya kuhifadhi utajiri na hawataki kuyakodisha bali wanayaweka tu na official yanaandikwa empty yaani hayakodishwi.Wakodishaji wapo .Mfano una ghorofa kijijini kagera au Kilimanjaro ukisema unalipangisha kwa shilingi elfu Tano kwa mwezi hutapata wapangaji kijijini?
Mawazo ya kishoga haya baada ya kuibiwa basha. Embu sikunyingine leta mada zenye akiliNch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Utaahira na umasikini vinakusumbuaNch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.
Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.
Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Unaweza ukawa sahihi lakini ulivyomalizia unaonesha roho ya umasikini.Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.
Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.
Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.
Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.
Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Kwani hao wenye full home na full rooms wanalipia tax?Canada wenye hiyo empty home tax Ni Maskini?