Serikali ianzishe “empty home tax”, kuna nyumba hazina watu Kagera na Kilimanjaro

Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Watu wakiacha kujenga ndo furaha yako? Hatujafikia kuiga hayo, ama kodi hiyo itakuwa ya kibaguzi?
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Wazo zuri ila jamaaa una ROHO MOJA MBAYA ...[emoji23] [emoji23] NO offence!!
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Wadanganyika wengi ni hasara kwa Taifa
 
As far as kuna occupants in the premises, I’d doesn’t matter whether they are in a a main house or not.
Hapa Unaongelea plot Sio nyumba.Main house ndio nyumba yenyewe hao wanaoushi kwenye mabanda yawe ya kuku au servant quarter hawahusiki .Nyumba yenyewe Ni hiyo main house.
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Unaelewa maana ya kodi hio huko Canada?Huko watu wenye Pesa wana nunua majumba lakini hawataki kuyapangisha wala hawayatumii.Sasa huko Kagera ukianzisha hio kodi lengo lake ni kuwaambia wapangishe wawapangishie kina nani sasa?Maana hata wakisema wakodishe hizo nyumba hamna wakodishaji.Jifunze kufikiri
 
Basi tuwaacha ndani
 
Wakodishaji wapo .Mfano una ghorofa kijijini kagera au Kilimanjaro ukisema unalipangisha kwa shilingi elfu Tano kwa mwezi hutapata wapangaji kijijini?
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Wewe kila siku unakwea kuwa shetani Mkuu!
hata hujui kwanini vancouver wana this kind of Tax. Je sisi tuna mazingira kama hayo?

What is the purpose of the Empty Homes Tax?
The objective of the Empty Homes Tax is to return empty or under utilized properties to use as long-term rental homes for people who live and work in Vancouver.
The initiative was created to help relieve pressure on Vancouver’s rental housing market as the city is in the midst of a severe housing crisis with one of the lowest rental vacancy rates and the highest rental costs in Canada.
The Empty Homes Tax is an important policy initiative for the City of Vancouver given the potential to motivate owners of empty and under-used homes to rent out their properties and create a significant increase in rental housing supply.
 
Wakodishaji wapo .Mfano una ghorofa kijijini kagera au Kilimanjaro ukisema unalipangisha kwa shilingi elfu Tano kwa mwezi hutapata wapangaji kijijini?
Mkuu upangishe kwa elfu,hio ndo marketi price?Umesikia hicho ni choo cha kuogea?Kuna maeneo ambayo nyumba zinapangishika na watu wamezipangisha.Ila kuna maeneo hayaoangishiki.Vile vile nyumba inachukuliwa kuwa ni empy ikiwa haina occupant kabisa kwa mujibu wa official records.Ila kama mwenye nyumba anaishi Dar anakofanyia biashara na anaendaga kijiji na kuikia kwneye nyumba hio basi hio ni occupied unit.Kwa kule kwa wenzetu hawa ni watu wananunua majumba kwa ajili ya kuhifadhi utajiri na hawataki kuyakodisha bali wanayaweka tu na official yanaandikwa empty yaani hayakodishwi.
 
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
Mawazo ya kishoga haya baada ya kuibiwa basha. Embu sikunyingine leta mada zenye akili
 
Mkuu upangishe kwa elfu,hio ndo marketi price?
Kijijini makert price ya ghorofa ukipangisha kwa elfu Tano kwa mwezi ni fair.Ndio makert price Yake.Hapo waweza pata mwana Kijiji faster wa kupanga
 
Una roho ya kimagufuli na U TISS wako mchwara.
Nch zingine mfano Canada nyumba Kama haikaliwi na mtu Kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo Ni asilimia Moja ya thamani ya nyumba.Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu .Walipishwe hii Kodi.Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax wewe mtu anajenga jumba la ghorofa Lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja.Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu.Hayo mavyumba mengine yapigwe Kodi ya empty room tax
 
Nilijua hata utaomba wazo wasio na vyumba wakapewe hivyo vyumba kwa msaada, ww tena unataka kodi ikatwe iliwasaidia kuje nga
 
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.

Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.

Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax
Utaahira na umasikini vinakusumbua
 
Unaweza ukawa sahihi lakini ulivyomalizia unaonesha roho ya umasikini.
 
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.

Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya mamilioni hayana watu. Walipishwe hii kodi.

Lakini tunaweza kwenda mbali zaidi tukawa na empty room tax, wewe mtu anajenga jumba la ghorofa lina vyumba kibao unakuta anaiishi yeye, mkewe na mtoto mmoja. Au nyumba ya vyumba sita mtu anaiishi na mkewe tu. Hayo mavyumba mengine yapigwe kodi ya empty room tax

Wewe unayo matatizo, si bure!!
 
Back
Top Bottom